OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Last edited by a moderator:
Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.
Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi
Kafurahi na care lolHivi huyu OLESAIDIMU kilichomfurahisha mpaka akatoa likea ni nini?
labda yuko kwenye kisirani alichokisema zinduna leo
Si umpe tu yaishee! !!!!!!!!!
Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.
Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi
Shosti ulikuwa wapi??
mchane live mwambie hupendi sema unachopenda kama ile michezo ya mpesa,tigopesa,airtel money n.k
Suprise kwa kuwa umeshaelewa anakoelekea, huna haja ya kujisumbua.. tumia akili nyingi na nguvu kidogo ....ila ukitumia nguvu nyingi na akili kidogo utaharibu kabisa na ofisi inaweza kuwa vinginevyo. Hii ni ishi ndogo sana kuimaliza. Remember to contain yaself, right sweetheart!!
Salaam haigombi ila ukaribu wa kupitiliza usitishe.
Kama kuna analotaka kwako afunguke umpe kibuti cha mbavu maisha yasonge,kama ndio domo zege muache aendelee kufa kiofisa!!
kama ndo anasubiri nimpe cha mbavu au kumchana live ndo atazidi choka koz hayo siyawezi, nikikwambia sitaki utadhani simaanishi labda kesho atasema yes, utaendelea kusubiri hadi dunia igeuke, sitaki itabaki staki, hata nikikuchekea haimaanishi yes, dats how i am
Si umpe tu yaishee! !!!!!!!!!
Nawe kwa kuongea kiluzi hata sehemu za kutoa busara hujambo, kwahiyo wewe huwa unawapa yanaisha wanaokusumbua? Iwapo ni vile mbona Sayansikimu anakusumbua kila siku hujampa? Tupunguze ufunyugulu kwenye topic za kujenga
Inaitwa love and hate hiyo....kuna kitu between you....somethin like 'sexual tensions'
Au Surprise ni wale wa kundi la hataki ila haoneshi mpaka aombwe ndio akatae!!!!!!!!!
Kuna mmoja aliwahi niambia kuwa yeye anafurahi sana kumkatalia mwanaume ila raha yake ni kumpa mazingira kama anataka halafu akiomba au akianza kuwa serious yeye ndio anakataa rasmi!!!!