Nachokitafuta nitakipata

Nachokitafuta nitakipata

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Nawasalimu wana jf Mu wazima humu.

Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina.

Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na liwe.
NB ahsanteni kwa kunisikiliza
 
Kila la kheri.
Hapo kwenye unachokitafuta hapo..usisahau mrejesho.
 
Andaa ushahidi wa kimazingira.. Kukosekana kwa uaminifu, hubemenda penz la dhati!
 
Mahusiano yyte yanayovunjika ni kushindwa kuwajibikiana wote wawili,aidha ww au yy.. Na ni bora kuavhwa kuliko kuacha..we endelea tu kudukua simu yake utuletee na utakachokiona huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom