Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,943
- 31,893
Nawasalimu wana jf Mu wazima humu.
Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina.
Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na liwe.
NB ahsanteni kwa kunisikiliza
Usisahau kuleta updates ya utakavyokutana navyo