Nachoka sana baada ya tendo la ndoa

Nachoka sana baada ya tendo la ndoa

Petrol Tank

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
205
Reaction score
366
Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini
 
Vyuma vimekaza tafuta pesa kwanza chief hulali yaani unageuka kua mpambanaji aka akari
 
Usitumie nguvu wakati wa kugegeda, we reluxe vyenyewe tu vinafika mwisho. Inaonekana unatumia nguvu sana.hata mimi nilikuwaga hivyo hivyo lakini bahati nzuri niliupata mchepuko ukaniambia " naona unatumia nguvu nyingi sana mpenzi, usilazimishe "
 
Ushakuwa mzee unahitaji kufanya mazowezi ya viugo.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini
we ni mzembe anyway una kila sababu ya kuanza mazoezi ili mzunguko wa damu wako ukae vizuri la sivyo utakula hasara mbeleni huko
 
Usitumie nguvu wakati wa kugegeda, we reluxe vyenyewe tu vinafika mwisho. Inaonekana unatumia nguvu sana.hata mimi nilikuwaga hivyo hivyo lakini bahati nzuri niliupata mchepuko ukaniambia " naona unatumia nguvu nyingi sana mpenzi, usilazimishe "
Sawa kabisa
 
Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini
Kula dona mzee,acha kula sembe
 
Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini

Labda unakuwa umefanya na mtu kutoka kwenye makabila haya;
Mzaramo
Mngoni
Mkwere
Mdigo
Mmakonde
Mndengereko
 
Nazani mwili wako umetumika sanaaa kwenye hayo majambo hivyo unaelekea mwisho wakuwa na ufanisi mzuri.
.
Si unajua benz ukiliendesha KM za kutosha thamani yake hushuka na hatimae kufa
Ng'ombe huwa hazeeki maini. Performance and efficiency hubaki ile ile hadi siku ya mwisho
 
Back
Top Bottom