UDSM STUDENT
Member
- Nov 27, 2016
- 17
- 3
Habari za saizi wana JF most nimepangiwa kwenda kufanya field Nachingwea naomba kwa yeyote mwenye kuifahamu hii wilaya anipe dondoo zake
Duuuuh kumbe jeshi ndo linasambaza ukimw tz au wanaongoza kwa ngono zembe?me nimeoa huko so napafahamu,ni sehemu flani kame hivi,watu wa kule ni wavivu ni sawa na Tanga tu,mbali na field ukiwa mjanja utatoka kimaisha unaweza kununua mashamba ya mikorosho ikawa ndio mwanzo wako kutoka, au ukanunua mbaazi ukazihifadhi ukauza baadae,mbali na yote wanawake wa pale kama wameongezewa asali hivi ni watamu balaa,na wengi ni mabikra kule sema pia ukimwi umesambaa kwasababu ya ile kambi ya jeshi iko kule so watchout! NOT TO THAT EXTENT
Sio kwamba nataka kukwepa ila naulizia ili niweze kujua mazingira,tabia za wakazi wa huko pamoja na fursa zinazoweza kupatikana hukoUnataka kukwepa au? Kama umeshapangwa huko nenda tu utafika. Kitu nachoweza kukuthibitishia ni kuwa, huko nako kuna watu ka wewe
Naskia kuna Kambi tano za jeshi ?Duuuuh kumbe jeshi ndo linasambaza ukimw tz au wanaongoza kwa ngono zembe?
Namikango mkuuNachingwea kubwa wapi mkuu
Umepangiwa field ya nini?Habari za saizi wana JF most nimepangiwa kwenda kufanya field Nachingwea naomba kwa yeyote mwenye kuifahamu hii wilaya anipe dondoo zake
GeologiaUmepangiwa field ya nini?
Kuko kuzuri huduma zote muhimu zipo. Maji, umeme, vyakula pia sio bei juu. Utaenjoy labda uende vijijini. Kuna vumbi jekundu pia, so gud luck broo. Mm huko ni home najua kila uchochoro.Habari za saizi wana JF most nimepangiwa kwenda kufanya field Nachingwea naomba kwa yeyote mwenye kuifahamu hii wilaya anipe dondoo zake
Vipi kuna umeme hadi vijijiniKuko kuzuri huduma zote muhimu zipo. Maji, umeme, vyakula pia sio bei juu. Utaenjoy labda uende vijijini. Kuna vumbi jekundu pia, so gud luck broo. Mm huko ni home najua kila uchochoro.