Nabubujikwa na machozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabubujikwa na machozi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mimi na mume wangu tuna maisha mazuri sana hasa linapokuja suala la sex. Hata hivyo siku nikiwa nimemtamani sana mume wangu (horny day) tukiwa kwenye sex hasa ninapofika kileleni huwa najisikia kulia machozi, sijui kwa nini? Je, ni kawaida kwa mwanamke kulia machozi wakati au baada ya sex?
  Nahisi mume wangu huwa hajisikii vizuri (comfortable) kwa kuwa anahisi labda huwa naumizwa.
  Je, hii huwatokea na wengine?
  Ni mimi Jane J.
  Asante kwa swali zuri hata hivyo ni kweli kwamba kama wakati wa sex na hasa unapofika kileleni huwa unajikuta unatiririsha machozi ya uhakika ni hakika unaweza kuchanganykiwa, kukatishwa tamaa na wakati mwingine. Hata hivyo nikuhakikishie tu kwamba hii huwatokea wanawake wengi na ni kitu cha kawaida. Ukweli wanawake wengi hujikuta wanabubujikwa na machozi bila sababu ya msingi wakati, na hata baada ya sex, na kuwaacha wapenzi wao wasijue cha kufanya.
  Kuna wakati sababu ya kutoa machozi hujulikana na kuna wakati ni siri kubwa.
  Ukweli ni mwitikio wa kawaida kihisia (emotions) kwani wapo watu hujikuta wakibubujikwa na kicheko, au kujikuta ana kiu au njaa ya chakula na wengine hulala fofofo na kuwa kama wamezimia na wengine hupiga kelele na hata kuimba au kutoa matusi ya nguoni na hii ni mwitikio wa kawaida kihisia kwa kufika kileleni.
  Unapofika kileleni mwili hufanya majumuisho ya kuachia raha ya jumla na hii husukuma mwitikio wa tukuko (emotions/feelings) na kwako huo mwitikio ni kububujika machozi.
  Pia ifahamike kwamba sex kati ya wawili wanaopendana ni suala la kumilikiana na kuingizana ndani ya kila mmoja kwenye nafsi ya mwenzake na wakati mwingine mwitikio unaotokea huwa nje ya ufahamu (unconscious level) wa hao wawili namna walivyounganishwa na matokeo yake mwanamke ambaye kwake suala la hisia huunganishwa na sex hujikuta akibubujikwa na machozi bila yeye mwenyewe kufahamu sababu halisi.
  Jambo la msingi ni kwamba kama unajisikia raha na huku kuna kilio na machozi ni suala la mwenzako kuelewa kwamba ni mwitikio wa kazi yake nzuri ya kukufikisha pale unahitaji na si vinginevyo.
  Haina haja kuwa na hofu kwani ni jambo la kawaida
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sijajua lengo lako.
   
 3. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Uchozi hata mie hunitoka ila jamaa huwa anaelewa kwamba leo shughuli pevu
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Na wengine hulia Yesu, Yesu, Yesu........ non stop....! Hahahaha..
   
 5. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hao ni wachagga....ha ha ha ..Anyway, sorry nilikuwa napita tu..Nadhani hii post ya wanawake...
   
 6. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe umechekesha kweli mhh
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sikujua kama wewe ni mwanaume pia!
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wa machozi mbona wengi? Sasa enzi zile bado nabadili nilikutana wa kucheka! Duh! anakera kinoma.
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh hizi mada nyingine mwiba kwetu mabikra...mchozi ukitoka ntakuja na ushuhuda wangu
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  jukwaa la mikwaju na machozi.
  :bange:  :A S-baby:  :A S cry:ebu mie nkalilie bafuni..chumban panya wataniona!!!!!
   
Loading...