NAbii Lowassa, Wapi Regina Lowassa???

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Lowasa(2).jpg Lowasa(2).jpg
 
sjapata theme kaka?
unataka kusema lowassa alienda kwa pastor J KULE LAGOS?AU?
 
sjapata theme kaka?
unataka kusema lowassa alienda kwa pastor J KULE LAGOS?AU?

ni kweli alikwenda huko , sikumbuki tarehe, ila ni mwezi wa sita mwishoni. magazeti yaliandika kuwa kaenda huko, sikuamini. alipord aliongea na waandishi dar, akasema ilikuwa safari nzuri , malengo yametimia
 
Hata kama Lowasa anakosea hapa tunamhukumu bure..... Yeye si ni mkiristo....uamuzi wake kwenda kwenye mahubiri yoyote au mahali popote anapotaka kwenda kusikiliza neno la Mungu sioni kama ni tatizo... Uwezo anao na si dhambi au kusema kuwa kaenda kufanya ushirikina.... Hapa sasa tunakwenda mbali hasa tunapoingilia uhuru wa mtu katika kuabudu...... What is the problem so far
 
pengine amekaa nyuma hukoooo, boss kwa kuwa alikuwa na shida nzito ndo kakaa benchi la mbele.
 
Hakuna kitu chochote kibaya pasi kua na reference,sitashangaa huyu bwana kuja kua mkuu wa nchi siku moja...watch out
 
tumpe hongera za nguvu kwa kaumua kumrudia mungu ili asamehewe yale anayotuhumiwa
 
Back
Top Bottom