Nabii Frank kilawah ana kanisa Dar?

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,303
Habari wakuu!

Ninaomba kuuliza huyu nabii tajwa hapo juu ana kanisa au Huduma ya kiroho hapa Dar? Maana nilikua nasikia yupo Tanga then nikapata tetesi kwa sasa yupo Dar.!

Kwa maantiki hiyo nilikuwa naomba kujuzwa kama yupo Dar na pia ni sehemu gani?

Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom