Kumbe mpaka humu watu wanaCOPY na kuPASTE!!!Mimi ni Mkatoliki die hard. Huyu nabii alimpagawisha wife wangu na kutaka kulazimisha tuhamie kwake. Niligoma na amani nyumbani ilitoweka!.Nilipomuona kwenye TV, ni full mkorogo, katinda nyusi full mawanja ya kupitiliza na nywele za marehemu au artificial, nikachoka, nikamsomesha wife hivi kwa naked ayes only jinsi nabii anavyoonekana, unapata picha ya wazi anamtumikia nani!. Thanks to God, somo limeeleweka wife amerejea Katoliki na amani imerejea!.Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.Wito kwa wana jf wenzangu, imani zenu zisitetereshwa kwa miujiza ya manabii hawa, fuatilia matendo yao utawatambua!. Nadhani mwisho wa dunia umekaribia. Manabii wanazaliwa kama uyoga.
hapo kwenye enzi yake kochi linaonekana comfortable, ila kapu la sadaka kubwa kweli! hana vacancy ya nabii msaidizi mananke nna upako wa kutosha.
Nasi hatukuwatuma kabla yako (Manabii) ila watu 'wanaume' tuliowapa Wahyi (ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui.
Qur'an: 16:43.
ktk Biblia wapo ila huyu kajiita tu kama Dr. J.M. Kikwete
Hakuna Nabii Mwanamke katika Vitabu vyote ndani ya Biblia, iwe Agano la Kale au la Zamani, lete ushahidi kama unao
mjinga huamini kila neno
hapo kwenye enzi yake kochi linaonekana comfortable, ila kapu la sadaka kubwa kweli! hana vacancy ya nabii msaidizi mananke nna upako wa kutosha.
Nimepitia suggestions zote na mambo yote yaliyoandikwa na wadau humu kuhusu nabii huyu......ila nimegundua jambo moja kwamba karibia wote waliochangia hawajawai kwenda na kushuhudia live yale anayotabiri,kutenda na wakati mwingine kuponya according to wagonjwa wenyewe wanaoshuhudia! sasa mambo yapo ivi,miaka kama miwili nyuma mimi nikiwa mahala fulani niliwasikia akina dada wawili wakimsimulia dada huyu kwa kusema hawaji kumwamini mchungaji yoyote zaidi yake kwani matendo aliyowatabilia ndo yaliyowatokea ivyo kwao yeye ni kila kitu....basa kuwa tulikuwa tumekaa pamoja nikawa so interested to know what next!wakasama siku walipoenda waliomba wapate waume wa kuwaoa!mmoja akasema ambarikie muwe wa kizungu nawingine mwenye uwezo angalau atokane na uuzaji wa bar ambao kwake yeye alikuwa haupendi eti ikawatokea vile na ni kweli mpaka wakati huo wanaoongea yaliwatokea hayo! siku zikapita nikiwa kailuki hospital kwenye bench ya kusubilia doc akawa anasimulia mama mmoja kwamba ktk maisha yake hawezi kuacha kumshukuru nabii yule (FROLA)alimponya miguu iliyomtesa kwa miaka mingi sana na kumbewakati anaongea ivyo kulikuwa na dada ambaye alikuwa na tatizo la kutopata hedhi yapata miaka nane na akawa hazai akashawishika na kwenda na kwa kuwa nilikuwa interested ilibidi nichukue no yake na kumhimiza amtafute baada ya wiki mbili alianza kuona siku zake hii ni kweli ndugu zangu!...nami nikaanza kwenda...miujiza niliyowai kuishuhudia watu wakisema ni mingi sana mfano ya kuwafanikishia watu ajira,kuponya uvimbe matasa kuzaa kurudisha mume anayetaka kupokonyoka na kugeuza maji ya kawaida uhai kuwa na sukari kwenye joto kuwa baridi mwanamke aliyetolewa kizazi kupata mimba wa nje ya nchi huyo!...nyingine kaka mmoja aliyeibiwa nyeti zake kurudi..mwingine aliibiw kodi ya nyumba na matapeli alipoenda wezi walijileta iyo nilioona dada akishuhudia na ana uwezo wa kukwambia baya linaloweza kukufika siku za mbele!....my take....mimi kama mimi namwamini ila jambo ambalo nashindwa hata ujumbe umfikieje ni suala la kujichubua!!!! HAPO KIDOGO pananikwaza! na wasiojua UNABII hajaanza kwa jili ya njaaa alianza akiwa mdogo sana na tena alikuwa naufanyia mikoani ndo akatokea mkaka mmoja kumleta DAR kwa imani kupata pesa mgongoni kwake ila akashtuka ndo mana unaona sasa ana kanisa lake tena amehamia alilojengewa na waumini salasala mbezi njia panda mbuyuni..ivyo mnaocomment ni angalau mngeenda huenda mkapata zaidi yangu...japo nakumbuka kuna siku aliyavunja maji ya chupa ya uhai na kuwaambia watu wayaonje akisema yamekuwa na asali! yaani matamu mama mmoja akanyoosha mkono akasema mboa yeye akayoonja ni ya chumvi?yeye akajibu Mungu ni wa ajabu unapomuomba kitu anaweza akakupa zaidi!! Muhimu ashauriwe asijichubue naona ilo ndilo lililowakwaza watu wengi!hayo ya sadaka ni watu wenyewe wanatoa tena wengine humpelekea kila siku kuku wa kienyeji wa kula mana yeye mwenyewe anasema huwa anapenda sana kuku wa kienyeji kama mboga yake kuu!NAWASILISHA!
Nabii ni mtumishi wa Mungu,kwenye biblia wapo manabii na watumishi wa Mungu wanawake wengi, Na hapa nifafanue nini maana ya kuwa mtumishi wa Mungu(ni kukubali kutumiwa na Mungu ktk kile anachotaka kufanya kupitia kwako).katika kitabu cha Waamuzi yupo Debora,lakini pia katika kitabu cha matendo ya mitume anatajwa nabii mwanamke na sehemu nyingine za biblia.Hivyo manabii wanawake wapo na hata sasa wapo,lakini Yesu alisema watakuja manabii wa uongo,hivyo kabla ya kukubali au kukataa huduma ya mtu ni muhimu kumwomba Mungu akupe ufahamu/ufunuo.Hakuna Nabii Mwanamke katika Vitabu vyote ndani ya Biblia, iwe Agano la Kale au la Zamani, lete ushahidi kama unao
Nipe andiko.Huyo sio Nabii.
Hakuna unabii tena baada ya Nabii Muhammad.
Nabii Muhammad SAW ni nabii wa Mwisho.