Bwana wetu Yesu Kristo hakuwa na dini kwa hiyo hakuhitaji kubadili dini.Yeye yuko juu ya dini.Dini ni mawazo ya binadamu tu, kwa hiyo hayana uhusiano na Bwana Yesu.Na kuhusu kuokoka, yeye hakuhitaji kuokoka,kwa kuwa yeye mwenyewe ndiye huo wokovu.
Ndio maana watu wengi wanakata tamaa na dini. Sasa wewe na uchafu wote unaoandika hapa forum eti unasali kwa nabii halafu tena amekusaidia? Basi atakuwa ni Lusifa mwenyewe na wewe ni ibilisi
Nakushauri uende mwenyewe ujionee..mengi yanaongewa kuhusu mausanii..ila wapo wanashuhuda..nakushauri popote utakapoenda kufuata maombezi..muombe mungu kwanza akuongoze na sio watu wakuongoze..na kama neno la mungu linavyosema amani ya kristo iamue ndani yenu..ukiona huna amani jua sio penyewe...angalizo ibada za kutumia maji, sabuni sijaona ufunuo ktt neno..ila mtu ukiamua kuamini hata udongo unafanya kazi ..kazi kwako!