Fursa! Acheni kulalamika.
Kweli fursa na atawapata wengi tu
Fursa! Acheni kulalamika.
Anasema ameitwa na kupatiwa huduma ya unabii na ni nabii wa kimataifaNabii, kivipi Yaani?
Nyakati za mwisho hiziHawa manabii mbona wamekuwa wengi sana siku hizi [emoji20][emoji20]
Yesu not yesu!hukiona hivyo ujue yesu anakaribia kurudi
chukua hatua sasa
Ni kiashiria cha nyakati za mwisho.Hawa manabii mbona wamekuwa wengi sana siku hizi [emoji20][emoji20]
Nabii?Mi sikumbuki,lakini hata kama alikuwa mshiriki wa BSS hiyo haimfanyi ashindwe kuwa mtumishi wa Mungu.