Nabii Catherine Ntepa

Nabii Catherine Ntepa

Hapa mtaani kwangu kuna Jamaa anaroho ngumu sana, Ana kikanisa amekodi sehemu Kila j2 wamasali watu 6 tu yeye na mke na watoto wake, ajabu ni moja speaker zinazofungwa pale mziki mtaa mzima, sasa watu 6 ambao mkiongea Mnasikilizana vizuri tu, kelele za nini?
Mkuu mpe muda huyo jamaa. Wanaanzaga hivyohivyo na familia.

Ndo maana wahubiri wanapendaga wake zao sana maana ndo wafuasi namba 1. Ona Mwakasege na mkewe.
 
Mkuu mpe muda huyo jamaa. Wanaanzaga hivyohivyo na familia.

Ndo maana wahubiri wanapendaga wake zao sana maana ndo wafuasi namba 1. Ona Mwakasege na mkewe.
Tatizo mtaa anaofanyia kabugi, mijitu ya hapa huwa haijulikani misiktini wala makanisani labda ahame mtaa
 
Back
Top Bottom