Nabii asiekubalika nyumbani

Mabilioni ujerumani? Uswiss au ulimuwekea. Zitto ni genious ni mwanasiasa hodari, anakubarika kama wew hujamuelewa hutakuja kamwe kumuelewa

Haina haja ya kubishana na hao watu.
Tunaomuelewa zito ni wengi tu hivyo haina haja ya kubishana na hako ka tabaka ka watu wachache na wafuasi wao wa ukanda flani flani.
Bado tumesimama imara na zito(jeshi la mtu mmoja)
 
Jiwe la pembeni lilikataliwa na waashi
 
Kwa nini watetezi na mashabiki wake muwe pia mashabiki wa CCM?
 
Zitto ana Id 10 anacheza na akili za watu , nenda Zitto chadema tulikupenda sana lakini ccm imekupenda zaidi, ungana na wanafiki wenzio mwendeleze kuwanyonga wanyonge.
 
Kwa nini watetezi na mashabiki wake muwe pia mashabiki wa CCM?

una uhakika ndugu mimi ni CCM, je kuna ubaya nikiwa CCM? Au kuna ubaya kumkubali zitto? hivi hauwezi ukawa mchapa kazi bora kazini alafu ukafumaniwa na mkeo ukiwa na kimada? je tusikusifie kwa uchapaji kazi wako ambao ni obviuos kwa sababu uliwahi kukutwa na kosa la kushikwa ugoni? kukosea ni sehemu ya binadamu. tusimusifie au kumkubali kwa sababu tu amegombana na viongozi wenzake, ni two independent events. au unaonaje great thinker?
 
Kwa nini watetezi na mashabiki wake muwe pia mashabiki wa CCM?

kumkubali mwanasiasa sio lazima uwe mwanachama, narudia ni two independent events.ungejadili hoja ingekuwa bora zaidi, je anastahiki hiyo nafasi? je kuna faida yeyote kama taifa? CCM wapo tu siku zote, walimkubali zitto wengine ni mapenzi tu, wengine hawampendi, wengine ni siasa kwamba adui wa mwezako ni rafiki yako, mbona simple tu
 
Kama hauko CCM basi hujui Vita unayopigana... Msome kitila hapa!..

Kama hauko CCM basi hujui Vita unayopigana... Msome kitila hapa!..

hivi kumsifia zitto nimeinga vitani tena? kwa wanasiasa siku zote wapo vitani ndio game ilivyo na ndugu yangu dont be carried away too easly! hawa ni wanasiasa ndugu yangu, yote hayo ni michezo yao ya kugombania madaraka na ndio nature yao. marafiki mwanasiasa hachaguliwi! then sio kila unalosikia au unalloliona kwenye siasa ndio lilivyo.. hivi mboe hana ukaribu na watu serikalini? hivi slaa hana ukaribu na watu serikali au unanimbia alivohama chama na akafuta na urafiki hapo hapo? hivi ukifukuzwa kazi unavunja urafiki na mates wako? ni kweli zitto alikuwa anataka madaraka na hilo ndio kosa lake sasa wewe ulitegemea nini hapo huku wenzake hawamtaki, he was more or less like a virus.
 
Wewe hujui unachokipigania... undani wa yote haya tunaujua!.. Soma dondoo za usaliti wa zito:

ndugu yangu dont be caried away too easly! hawa ni wanasiasa ndugu yangu, yote hayo ni michezo yao ya kugombania madaraka na ndio nature yao. marafiki mwanasiasa hachaguliwi!
Mimi nimefanya kazi chini yake na kuwa kwenye timu yake mpaka 2013... Unapigania usichokijua wewe!...
 
Wanaoelewa wamekimbia wewe mngony kwa umbumbumbu wako umekazana kumtetea MSALITI!...
 
Wanaoelewa wamekimbia wewe mngony kwa umbumbumbu wako umekazana kumtetea MSALITI!...

haya ndugu, nashkuru ila sasa umeanza na kunitukana kabisa!.. haya usiku mwema great thinker inawezekana kweli nimejiingiza vitani tena vita nisiyoijua.. usiku mwema
 
haya ndugu, nashkuru ila sasa umeanza na kunitukana kabisa!.. haya usiku mwema great thinker inawezekana kweli nimejiingiza vitani tena vita nisiyoijua.. usiku mwema

Achana nae hawa ndo mazezeta wenyew usibishane na matahira
 
Kwa nini magamba hawa wanamfagilia sana Zitto?

Ana hakiri, mpambanaji, anajua anachokifanya, mtetezi wa wanyonge, hapendi kuonewa, Zitto huwezi kumfananisha na Mbowe au babu slaa!
 
Always the truth will stand no matter what you can fight throwing words to each other but you know the truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…