Wakuu, naona mnataka kuacha mada na kuanza kubishana vitu visivyohusiana
Topic ni ubaguzi katika mahusiano ya kuelekea ndoa.
Binafsi naunga mkono ubaguzi katika sula la ndoa, Ndoa ni jambo nyeti sana katika maisha ya mwanadamu,
Mke au Mme ni mwenzi wa maisha ambae mnakuwa kitu kimoja hadi kifo, then hw comes muwe mwili mmoja na mtu ambae mna tofauti ya imani, fikra, hobies, n.k, Mtu asiyebagua katika suala la ndoa ni mtu mpuuzi asiyejua maana ya ndoa na ni hizi ni miongoni mwa sababu za ndoa nyingi kutodumu.
ni kweli, lakini ni wakurya. jamani, musoma hakuna kabila moja pekee. mimi ni mjita , na hayo mambo hakuna kwetu. pia binafsi nimezaliwa na kukulia Kahama na mpaka leo wazazi wangu wanaishi Kahama. najua kisukuma zaidi ya kijita, na hua najiona msukuma pure. mambo ya ukabila kwa kweli ni kitu ambacho sijazoea kukiweka mbele
Ha ha ha@Bob Lee Swagger uchokozi huo sasa...ha ha haNamna ulivyoamua kudili nao utadhani Ben Saanane anavyodili na PM7 hahaha hahah!!
Mzee unaelewa wasabato hawali kambare? Hapo hapo kibua wanakula!!!
wewe mleta mada ndio mdini....kama ulimpenda sana kwa nini wewe hukubadili?
hee nimejifunza mengi,nilikuwa siyajui hayoKusema ukweli Sabato ni Wakristo, lakini kidogo mna mambo magumu , na ndiyo maana mnahisi kubaguliwa.
Mambo kama yafuatayo ni ishu sana:
-Kutokula nyama
z
-Kutokunywa soda
-Kutokula baadhi ya samaki.
-kutokunywa chai na kahawa.
-kutopika wala kugusa chochote jumamoc.
-chakula cha jmosi kupikwa ijumaa.
-jua likizama ijumaa sabato ishaanza.
-mambo ya lesoni, pathfinderz, makambi etc
-hakuna sikukuu zozote za kikristo.
-hakuna vipindi maalum vya kanisa kama vile Majilio, Kwaresma, Ijumaa kuu na Jumatano ya majivu.
-masharti kama kutokutengeneza nywele kwa mwanamke, wakati mnajua MWANAMKE NYWELE.
-Kutumia na kuamini zaidi agano la kale kuliko jipya.
Kweli mdada anahitaji maamuzi magumu kabisa kuamua kuachana na mambo aliyozowea na kuwa msabato.
Dadaangu wa tumbo moja akiamua kuwa msabato nitamkubalia, lakn nitalia sana na machozi yataenda tumboni.
Kuwaona hao ni wanazuoni ni sababu ya uelewa wako wa Biblia. Wasabato ni aina fulani ya Wafarisayo Weusi wanaoamini katika mwili zaidi ya roho.
Haya uliyoyaorodhesha hapa usifikiri hatuyajui. Hata sisi tunaoadhimisha Christmas tunajua Yesu hakuzaliwa Tarehe 25, je wao wanaweza kutuambia kazaliwa lini? Ile ni tarehe tu imechaguliwa kwa maadhimisho, hakuna ajuaye Yesu alizaliwa tarehe ngapi.
Hao wanaabudu siku. Yesu alikuwa na shida sana na watu hawa. Kama wanataka kalenda ituongoze kuhusu Yesu kazaliwa lini kwa mtindo wa mrejeo, basi na wao wanapaswa kufahamu kuwa SIKU YA SABA YA JUMA NI IJUMAA. Mosi ni MOJA
Mwana Aisee uelewa wako ni mdogo sana juu ya gospel hebu ni-pm nikupe ukweli utashangaa kuliko kusema wasabato si wakristo na wakati YESU alisema ndiye bwana wa sabato,Biblia inasema kama ilivyo desturi mtume paulo alienda kwenye sinagogi(kanisani) siku ya sabato.Okey, fanya hivi: niambie kwa hiyo kalenda yenu nyinyi Yesu alizaliwa tarehe ngapi ya mwaka gani
Stupidity of this kind of thinking ndio huwaongoza wanawake kufanya maamuzi kwa hisia za kiunoni na mwishowe mnaishia kulialia na kujaza kurasa hapa za malalamiko.
Kila imani inaambatana na taratibu fulani ambazo huwezi kuzipuuza. Kwa mfano, wewe umesema ni Muislam na unajua mambo ya ndoa ya Kiislam ni tofauti na ndoa za Kikristo, kwenu mnaoana hata nane kwa mume mmoja, je mtu wa dini nyingine akioana na Muislam hayo huwa anayazingatia au anaongozwa na ashiki baadaye akili zikirudi mnaanza kusumbua watu?
Dini hazikuletwa kutugawanya. Shida ya wengi wetu ni kupenda kuropoka maneno tusiyoyajua au kuyafanyia utafiti. Tunaenda darasani kusoma, na bado tuna akili zile zile za zamani. Mkuu amu, ubaguzi mkubwa katika mahusiano ulikuwapo kabla ya kuja Ukristo.
Acha nikupe mifano ambayo waweza kuwa umeisoma lkn kwa mazoea yetu hukuwahi kutafakari:
1. Tafuta kitabu cha Things Fall Apart cha Chinua Achebe, soma kile uone taratibu za mila na jadi za Pre-Christianity Nigeria halafu uone nini maana ya ubaguzi. Mule kuna Outcasts wakiitwa Osu, hao walikuwa hawaoi wala kuolewa na free men.
2. Rudi hapa hapa Tanzania. Mara ngapi huko vijijini mtu hukatazwa kuoa ukoo fulani kwa sababu tu zamani za kale mtu fulani wa ukoo huo aliugua ugonjwa fulani? Sio mila na desturi ndio zinawakataza Wamasai kuoa au kuolewa na kabila lingine?
Kuzishambulia na kuziita kuwa zilikuja kutugawa ni kushindwa kufikiri. Hapo kabla ya dini walemavu walikuwa wanatupwa au kukimbiwa. Mapacha walitelekezwa na wajane wakarithiwa bila ridhaa zao. Wewe unayeongea hapa, saa hizi, isingekuwa civilization ilioletwa na dini ungekuta umeozwa kwa Libabu la miaka 53 bila ridhaa yako na huruhusiwi kubisha.
Akili za namna hii ndio zilitumika kuwakeketeni. Usiongozwe na hamu za ngono kufikiri kila kitu ni simple.
Huyo Msabato analalama tu aonekane ameonewa, lkn hata yeye mwenyewe anajua matatizo yao. Msabato na Myahudi wameachana padogo sana, lazima kumchukulia kwa tahadhari. Hata mimi binti yangu akiniambia anataka kuolewa na msabato nitanawa mikono na kumuaga
Kama wewe mtoa mada na wewe sio mbaguzi kwa nini hukukubali kuwa mkatoliki??? kama dini si issue ungekubali tu kwa yule wa kwanza
Kusema ukweli Sabato ni Wakristo, lakini kidogo mna mambo magumu , na ndiyo maana mnahisi kubaguliwa.
Mambo kama yafuatayo ni ishu sana:
-Kutokula nyama
z
-Kutokunywa soda
-Kutokula baadhi ya samaki.
-kutokunywa chai na kahawa.
-kutopika wala kugusa chochote jumamoc.
-chakula cha jmosi kupikwa ijumaa.
-jua likizama ijumaa sabato ishaanza.
-mambo ya lesoni, pathfinderz, makambi etc
-hakuna sikukuu zozote za kikristo.
-hakuna vipindi maalum vya kanisa kama vile Majilio, Kwaresma, Ijumaa kuu na Jumatano ya majivu.
-masharti kama kutokutengeneza nywele kwa mwanamke, wakati mnajua MWANAMKE NYWELE.
-Kutumia na kuamini zaidi agano la kale kuliko jipya.
Kweli mdada anahitaji maamuzi magumu kabisa kuamua kuachana na mambo aliyozowea na kuwa msabato.
Dadaangu wa tumbo moja akiamua kuwa msabato nitamkubalia, lakn nitalia sana na machozi yataenda tumboni.
I hate people wa hivyo wote mnaabudu Yesu mnatofautiana madhehebu tu nao ni tatizo.
Am sorry to say this dini/imani haina nafasi kwangu zililetwa na wazungu na waarabu kugawa watu.
Leo hii mimi amu muislam sababu nimezaliwa dar pwani ila ningezaliwa Mbeya au Bukoba ningekuwa mkristo.
Siku zote mahusiano ni uamuzi wa mtu those excuses are just rubbish
Kuwaona hao ni wanazuoni ni sababu ya uelewa wako wa Biblia. Wasabato ni aina fulani ya Wafarisayo Weusi wanaoamini katika mwili zaidi ya roho.
Haya uliyoyaorodhesha hapa usifikiri hatuyajui. Hata sisi tunaoadhimisha Christmas tunajua Yesu hakuzaliwa Tarehe 25, je wao wanaweza kutuambia kazaliwa lini? Ile ni tarehe tu imechaguliwa kwa maadhimisho, hakuna ajuaye Yesu alizaliwa tarehe ngapi.
Hao wanaabudu siku. Yesu alikuwa na shida sana na watu hawa. Kama wanataka kalenda ituongoze kuhusu Yesu kazaliwa lini kwa mtindo wa mrejeo, basi na wao wanapaswa kufahamu kuwa SIKU YA SABA YA JUMA NI IJUMAA. Mosi ni MOJA
wathabato ni complicators sana wana base sana kwenye agano la kale, na tafsiri yao katika biblia huwa haingalii, who said this, at what time, to whom, for what reason and what is the implication to the modern era, suala sio wakurya kubaguliwa , hata sisi huwa tunawabagua kwa mfano ukienda home wazee wengi wanatukataza tusioe wachaga hasa wamachame coz wanatabia mbaya ndio maana wamama wengi wanamiliki nyumba za kupangisha kwani waliua wame zao, wahaya wanasema kuwa ni wababe na wanadharau kwa baba na mama mkwe pia mnyakusa wana dai hathamini ndugu, unachotakiwa ni kujiongeza wewe kama wewe, sio lazima uoe mchaga na sioi lazima uoe mkatoliki, wasabato mna imani za ajabu, kuna mdogo wangu tumempeleka NYABEHORE akasome tunashangaa karudi na USABATHO, full complication anaona kusali rozari ni dhambi kubw akuliko hata uzinzi, amekuwa tabia za kujiona bora na KAUSABATO kake
Acha kukurupuka dogo, Wasabato sio Wakristo. Mkristo maana yake ni Mfuasi wa Kristo, ambaye ni Bwana wa Agano Jipya la Milele.
Wasabato ni Wafuasi wa Musa. Ni aina fulani ya Wafarisayo yenye msimamo wa wastani. Hawa huishi kwa mapokeo zaidi ya Injili. By the way, hatujawabagua, wamejibagua kwa namna yao ya maisha.
Huko kwenye masinagogi yao wamelishana viapo kwamba atakayeoa nje yao watamtenga, sasa nashangaa huyu sijui katokea wapi kusema kuwa kabaguliwa.
Mtume Paulo na hata Yesu mwenyewe alipata shida sana na Wasabato (Wafarisayo)