Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,254
Mkuu hapo ni mke asomeshwi au mchumba?Si tulishawaambia acheni kuhack simu za hawa viumbe?
Ina maana huoni nyuzi za wavulana wenzio zinavyojibiwa pindi wanavyokuja kulia lia humu baada ya kuchungulia simu za wanaowaita wachumba/wake zao?
Jambo la kukumbuka " mke hasomeshwi, na huu msimu vyuo ndio vinaanza kufunguliwa, chukua hatua"
Unafungua au kuspy ya nini?Simu afungue pale anapokuwa na mashaka na mwenzie. Lakin kama ana roho nyepesi asijaribu.
Ila kama anaroho ngumu kama akina sisi wazoefu wa ku spy ..mbona kawaida tu. Unamjua unaeishi nae sio
Kweli mkuu Beingsingle..Very right
Siamini kama ni wewe umetoa huu ushauri aiseeWanaume wa Tanzania inabidi tubadilike asee maana malalamiko yamezidi mpaka imekuwa kero.
Kwanini unapendapenda hovyo jamani kila siku unaumia umia kidwanzi tu. Acha kupenda vitu vinavyokutia maumivu kila kukicha.
Madem wote ni hookers usidanganywe, ukiweza kumwingiza kingi piga one night stand kama unampa teni la sabuni akaoge poa kesho hamjuani. Uking'ang'ania kupenda utaishi kufa uache mwenzio akitanua uswahilini
Nisamehe tasavali [emoji23]Siamini kama ni wewe umetoa huu ushauri aisee
HayaNisamehe tasavali [emoji23]
Unapenda vizuri kweli! Hasara yake huyo bidadaNikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.
Huyu pumbafu nimemjengea hadi mamake ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hick simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
Heheheheheeeeee[emoji12]Pole saana mkuu, mwenyewe nina kilio changu hapa
Inakera sana kila siku malalamiko. Mimi sio player bana najaribu kuwashauri tu japo mimi sipo hivyoHaya
Ushauri uliotoa haki haufaiInakera sana kila siku malalamiko. Mimi sio player bana najaribu kuwashauri tu japo mimi sipo hivyo
Unafaa kwa wengi waoleta malalamiko. Ila cha muhimu ni mtu kutambua kuwa sio kila mtu mzinguajiUshauri uliotoa haki haufai
Hayo mawazo ya watu waoga. Unajua watu tumetofutiana. Wapo wenye uwezo na wasiona nao.Unafungua au kuspy ya nini?
Kama keshaliwa na ukajua utabadili nini..?!
Bata hachunguzwi anachokula mkuu...
anaolewa mkuu ,mchumbake si adui yangu pia
Kuna jamaa yetu mmoja alivurugwa kama hivo hivo miaka kadhaa iliyopita, kamfukuzia mama mtu hadi mwanzoni mwa mwaka huu kampata mama mtu na sasa kawa kiben10 unaambiwa mama haambiwi hasikii
Are u serious?[emoji15] [emoji15] [emoji15]tena hadi mafuta ananunua yeye