Naapa kujiua

Status
Not open for further replies.
Watu wanaishi kwny nchi zenye vita ndani ntiti nje ntiti na bado hawatoki nje kuface mabomu wafe ijekua,ww unaishi kwny nchi imetulia unashindwa kwenda hata huko ziwani pembezon ulime bustan yako utoboe. Ila pole sana kwa changamoto,acha kujiua hujui kesho kutakuchwaje
 
Usikate tamaa,vumilia,kujiua ni hasara ya nafsi yako milele,humkomoi mtu,jipe moyo,pambana kiume,maadam wewe umeona katika familia kuna umaskini,sasa sikia Mungu anataka wewe upambane uitoe familia hapo ilipo na kuiandikia historia mpya,jipe moyo unaweza,jiulize ukikata tamaa wewe unawaangusha watu wangapi nyuma yako,wengi tu,pia mama,baba,na ndugu zako utawatia huzuni na masikitiko makubwa
 
Huna haja ya kujiua. Maisha yanakuandaa kwaajiri ya stage mpya ambayo kwa sasa haupo tayari kuiingia ukiwa laini kiasi hicho.

Hakuna mtu anazaliwa duniani bila kuwa na sababu unless achague yeye kutokutumikia nafasi yake.

Kuna watu wanasubiria ujitambue, ufunguke ili wao ndipo waanze kuishi. Ukijiua na hao watu utakuwa umewaponza. So acha kujiuliza maswali ambayo huwezi kujijibu. Focus.
 
Me hata mtaji sina baba angu, ningekuja hata huko kijijini kutafuta maana sichagui kazi
 
Haya haya msiba wa kijana tyari kalamba nyongo ya mamba wananzengo tupo na chepeo apa futi 6 chini tunachimba kwa juhudi.

Msibani chakula Ni lazima haijalishi hata Kama ulikufa kwa njaa.
 
Arabic quotes says ,
We don't always want to kill ourselves but we want to kill something inside our hearts
 
Honga kwanza hiyo smartphone unayotumia kuingia JF alafu uendelee na ishu za kujiua.
Mpuuzi wewe eti kujiua Kuna watu wanashida kama Yanga msimu huu, wewe unasuburi
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Anaejiua uwa aaingii jamiiforums kuutangazia umma ...wewe fanya yako watazika tu shida ipo wapi???
 
Hamia Yanga wewe! Huko uliko utaishi na stress maisha yako yote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…