Naanza maisha upya...au siyo

Unaweza ukawa sahihi lakini
Kwa mtu anayefanya weight workout kitaalum sitakiwi kuoga maji ya baridi baada ya mazoezi
Sahihi kabisa ila maana yangu kubwa sana si baada ya kumaliza mazoezi immediately ukaoge maji ya baridi.
Unakata body nini ma biceps na tri?
 
Manzi muhimu ila kwa wiki mbili inabidi uichape vilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…