Naanza maisha mapya na mtu mpya

Hongera mkuu kwa furaha bubu uliyonayo,
Ivi yule m'babu wa juzi kati na ukatupia na kapicha hapa nae kazingua!!?
 
Haaaahaaaahaaaaa!,Love Star Search.
 
Mm pia natafuta wife, but she has to be mweupe, mrefu au mrefu wastani, awe na tako...!!

Gauge urself..!!
 
Ukiona kila mwanaume anakukimbia ujue una nyota ya riadha tafuta uwanja.
 
Nilitoa ushauri juzi, Mabinti chomeni sindano za vichaa, mapenzi yanawapa shida mno siku hizi
 
ndo nitakuwa na muda na mapenzi kila kitu ninacho
...mapenzi kwako yanakuja kwa mwezi na msimu [emoji1] [emoji1]..., yakija September hayana nafasi till October... Wacha niendelee kuobserve hii search

Btw, your birthday September mosi au September kenda??
 
Nenda kwenye nyumba za ibada. Pole Dada yangu.. Hakika una shida.
 
Miss natafuta again.......!
Mungu ni mwaminifu saaana. Mungu anasikia kilio chetu. Kamwe usichoke wala kukata tamaa....kumuomba
Ila kwanza jaribu kuwa mwaminifu kwake.
 
Mimi natuma maombi leo hiyo Oct nitasubiri kujibiwa tu tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…