Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto


Mkuu kwa mwana ccm yeyote kwa sasa amechanganyikiwa hivyo msamehe bure
 
Hakuna haja ya mseto kuendekeza mseto ni njia ya kuibeba ccm
 
hoja za Hawa jamaa Zinakera sana! sijui hawaoni kinachofanyika Ndani ya utawala mzima wa sisiem?!!

Mkuu ukombozi ndio nauona unakaribia na nikipindi ccm watalia na kusaga meno
 
Kujenga Ukaribu na Mtu Mwenye Nia Ya Kukuua Ni hatari Sana
 
Serikali ya mseto na CCM huo ni upumbavu Mkubwa usio na kifani.... CCM wamechoke... Hawafai tena huo ndio ukweli
 


Weee! Utafanya mseto na Fisado, myagawanaje mali, ukilataa si atakuua usijetoa ushahidi dhidi yake? Utakuwaje mseto na Msigwa, au Sugu, wanarubuni walalahoi kupiga mawe misafara ya watu? Mswalie Mtume!
 
Kwa katiba ipi inayosema habar za mseto? Serkal ya mseto labda 2020,,,,,, sahv magufuli atashinda hata kwa tofaut ya kura 7 tu
 
Magufuli waziri mkuu!!!??? Kwa katiba IPI?? Kwani magufuli anagombea jimbo gani ? Kasome katiba vizuri
 

nilifikiri nimeliona hili peke yangu, uko right mkuu!
 
The rule winner takes it all ...should apply!!
 
Serikali ya mseto? unaumwa wewe! wakupeleke milembe sa ivi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…