ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,694
Mtoa mada ACHA UZUSHI. ITV ndio TV ya Taifa kwa jinsi inavyo balance habari...
Sio Lowasa tu, hata Magufuli ameonyeshwa akitafuta wadhamini huko bkb
Wameonyeshwa, magufuli, wasira, maiga. Ina maana wote hao hujawaona? Acha majungu ya uongo humu.
acha upotoshaji. leo imerushwa habari ya magufuli, wasira, lowasa, balozi nani nani sijui, na mwandosya
We hujui kuwa lowasa anatoka kaskazini na mpango uliopo lazima rais atoke kaskazini
Bila kusahau SIX akiwa Pemba, huenda mleta uzi huwa anaangalia TV kwa style ya remote mkononi huku akihama hama pia akiangalia heading tu anafanya conclusionacha upotoshaji. leo imerushwa habari ya magufuli, wasira, lowasa, balozi nani nani sijui, na mwandosya
UKIkaidi;mpaka naandika kitu hiki nimefatilia sana hili swala so sijakurupuka