britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #41
HaaUmenena vyema
HaaUmenena vyema
UkoUmenena vyema
Unasumbuliwa na ushamba Kama jiwe mwenyeweJina la utani walimuita Bulldozer" tingatinga. Limesadifu. Aliboma nyumba zilo barabarani na kupanua barabara kila kona Tanzania, aliweza kubomoa Chadema. Ila alijita JIWE (mwamba,/rock stone rock). Ni Jiwe walilolitakaa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni, na kila alijegonga kwenye Jiwe hilo alisambatika vipande vipande.. Lejea UKAWA ,Chadema, amerudi mbuge mmjo. Kosa walilofanya CDM nikupambana Jiwe (Prophet YOHANA AU JOHN). Mwamba amesepa. Sasa wanachafua kivuli chake .Onyo kwa mtu anaepambana na kivuli cha Mwanamageuziharisi. Atakufa kifo kibaya sana. Atasambatika
Sana
Nikiagalia pale Rwanda pale, walimshangilia Kagame kwa kupata mkombozi safi,
Uganda wakafika hatua wakasema Hakuna kama Mseveni kwa meizi ile 50 ya mwanzo lakin muda huu unaoana kinachoendelea,
Nikagundua kwamba mara nyingi wapiga kura tunakuwa hatujapata muda wa kutosha wa kudadisi anayoyasema mgombea,
Pili tunakua hatujajua sana tabia yake ya binafsi nje ya uongozi,
Tatu tunashindwaga kuukemea unafiki wa wenzetu wapiga kura kwa kuwa ama ni wanufaika wa mfumo au ni wale wanaoogopa kwa uoga tu,
Juzi Algeria wananchi waliandamana mtaani kumpiga rais yule yule ambaye waliwahi kumuona mkombozi wao mwanzoni anaingia, na mbaya zaid pamoja na kwamba kuna uchaguzi huko Algeria wananchi hawana imani na tume ya uchaguzi , jana wameendelea kuandamana wakishinikiza jina la Rais wa sasa lisiendelee kuwapo katika lista ya wagombea, hii imenifikirisha sana kwamba kumbe nao wanakuwa hawana imani sana na tume yao ya uchaguzi maana wangekuwa na imani nayo si wangesubiri siku ya kupiga kura wasimpigie?
Matatizo au dalili ambazo upekekea wananchi waanze kuichoka serikali au rais waliyemwamini ni hizi
1.Kukosa ajira na huku waliahidiwa ajira, tunajua ajira si lazima zitolewe na serikali, ila serikali iweke utaratibu bora wa kuwezesha ajira za kuajiriwa na ajira binafsi,
2.Kukamuliwa sana wananchi kupitia kodi zisizo kuwa na mpangilio,
3.Kuona mauaji na upoteaji wa wenzao kwa kutekwa bila majibu ya kuridhisha
4. Chuki binafsi ya serikali dhidi ya wawekezaji wa mashirika binafsi na kuwakomoa
5.Kutunga tunga sheria ambazo hazina mpangilio kila siku ni kumtisha mwananchi wa kawaida badala ya kumfariji
NAWATAKIA UBEBAJI MWEMA WA MABOX VICHWANI MUWAPO KWENYE MABASI YA USAFIRI
USIKOSE KUFUATA MAAGIZO YA SERIKALI KWENYE KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI,
USIJE UKAMPA TENDA MTU AMBAYE SI WAKALA WA SERIKALI
Sasa nchi za kiAfrica tuna marais ambao kiuhalisia ni wafalme / malkia lakini wamevikwa majoho na vilemba vya urais wa kuchaguliwa. Chaguzi hizi 'fake' na kampeni za vyama ruhani (ghost), tume za uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa zimegharimu fedha nyingi. Bora tujue kuna utawala halisi wa ufalme na chaguzi zisiwepo kabisa pesa ziende kutumia katika masuala mengine badala ya uchafuzi wa chaguzi.Photo : Central African Republic President Jean-Bedel Bokassa sits with his wife Catherine, as he crowns himself "emperor" on Dec. 4, 1977