Naanza kugundua kwanini nchi nyingi walipata marais mwanzoni wakawashangilia, ila muda ulivyopita wakaanza kupingwa na kuwa madikteta

Nikiagalia pale Rwanda pale, walimshangilia Kagame kwa kupata mkombozi safi,
Uganda wakafika hatua wakasema Hakuna kama Mseveni kwa meizi ile 50 ya mwanzo lakin muda huu unaoana kinachoendelea,

Nikagundua kwamba mara nyingi wapiga kura tunakuwa hatujapata muda wa kutosha wa kudadisi anayoyasema mgombea,
Pili tunakua hatujajua sana tabia yake ya binafsi nje ya uongozi,
Tatu tunashindwaga kuukemea unafiki wa wenzetu wapiga kura kwa kuwa ama ni wanufaika wa mfumo au ni wale wanaoogopa kwa uoga tu,

Juzi Algeria wananchi waliandamana mtaani kumpiga rais yule yule ambaye waliwahi kumuona mkombozi wao mwanzoni anaingia, na mbaya zaid pamoja na kwamba kuna uchaguzi huko Algeria wananchi hawana imani na tume ya uchaguzi , jana wameendelea kuandamana wakishinikiza jina la Rais wa sasa lisiendelee kuwapo katika lista ya wagombea, hii imenifikirisha sana kwamba kumbe nao wanakuwa hawana imani sana na tume yao ya uchaguzi maana wangekuwa na imani nayo si wangesubiri siku ya kupiga kura wasimpigie?

Matatizo au dalili ambazo upekekea wananchi waanze kuichoka serikali au rais waliyemwamini ni hizi
1.Kukosa ajira na huku waliahidiwa ajira, tunajua ajira si lazima zitolewe na serikali, ila serikali iweke utaratibu bora wa kuwezesha ajira za kuajiriwa na ajira binafsi,

2.Kukamuliwa sana wananchi kupitia kodi zisizo kuwa na mpangilio,

3.Kuona mauaji na upoteaji wa wenzao kwa kutekwa bila majibu ya kuridhisha

4. Chuki binafsi ya serikali dhidi ya wawekezaji wa mashirika binafsi na kuwakomoa

5.Kutunga tunga sheria ambazo hazina mpangilio kila siku ni kumtisha mwananchi wa kawaida badala ya kumfariji

NAWATAKIA UBEBAJI MWEMA WA MABOX VICHWANI MUWAPO KWENYE MABASI YA USAFIRI

USIKOSE KUFUATA MAAGIZO YA SERIKALI KWENYE KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI,

USIJE UKAMPA TENDA MTU AMBAYE SI WAKALA WA SERIKALI
Mkuu kwa comment zako za nyuma inaonekana kama vile ulikuwa UNAUNGA MKONO JUHUDI, lakini kwa comment zako za hivi karibuni, naona UNAPINGA JUHUDI ZA MHESHIMIWA SANA HIS EXCELLENCY HIS MAJESTY THE MOST DISTINGUISHED LEARNED BROTHER LEADER DR PROFESSOR ENGINEER ASTRONAUT FIELD MARSHALL JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ESQUIRE?
chunga sana!!
 
mbona leo mnaonipiga biti ni wengi mkuu
 
rais wa Algeria sio dictator,tatizo kazeeka sana,yuko kwenye wheelchair kwa uzee,miaka zaidi ya themanini eti bado anataka agombee tena atawale hata kwa miezi michache kisha atawaachia...wananchi wamemchoka
 
kabisa na anakomaa kweli
 
M
Nikiagalia pale Rwanda pale, walimshangilia Kagame kwa kupata mkombozi safi,
Uganda wakafika hatua wakasema Hakuna kama Mseveni kwa meizi ile 50 ya mwanzo lakin muda huu unaoana kinachoendelea,

Nikagundua kwamba mara nyingi wapiga kura tunakuwa hatujapata muda wa kutosha wa kudadisi anayoyasema mgombea,
Pili tunakua hatujajua sana tabia yake ya binafsi nje ya uongozi,
Tatu tunashindwaga kuukemea unafiki wa wenzetu wapiga kura kwa kuwa ama ni wanufaika wa mfumo au ni wale wanaoogopa kwa uoga tu,

Juzi Algeria wananchi waliandamana mtaani kumpiga rais yule yule ambaye waliwahi kumuona mkombozi wao mwanzoni anaingia, na mbaya zaid pamoja na kwamba kuna uchaguzi huko Algeria wananchi hawana imani na tume ya uchaguzi , jana wameendelea kuandamana wakishinikiza jina la Rais wa sasa lisiendelee kuwapo katika lista ya wagombea, hii imenifikirisha sana kwamba kumbe nao wanakuwa hawana imani sana na tume yao ya uchaguzi maana wangekuwa na imani nayo si wangesubiri siku ya kupiga kura wasimpigie?

Matatizo au dalili ambazo upekekea wananchi waanze kuichoka serikali au rais waliyemwamini ni hizi
1.Kukosa ajira na huku waliahidiwa ajira, tunajua ajira si lazima zitolewe na serikali, ila serikali iweke utaratibu bora wa kuwezesha ajira za kuajiriwa na ajira binafsi,

2.Kukamuliwa sana wananchi kupitia kodi zisizo kuwa na mpangilio,

3.Kuona mauaji na upoteaji wa wenzao kwa kutekwa bila majibu ya kuridhisha

4. Chuki binafsi ya serikali dhidi ya wawekezaji wa mashirika binafsi na kuwakomoa

5.Kutunga tunga sheria ambazo hazina mpangilio kila siku ni kumtisha mwananchi wa kawaida badala ya kumfariji

NAWATAKIA UBEBAJI MWEMA WA MABOX VICHWANI MUWAPO KWENYE MABASI YA USAFIRI

USIKOSE KUFUATA MAAGIZO YA SERIKALI KWENYE KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI,

USIJE UKAMPA TENDA MTU AMBAYE SI WAKALA WA SERIKALI
Mwenye macho haambiwi tazama ... leo hii tunaelekea kuongea lugha moja kwa sababu kilio hakitakuwa cha wana - SIMBA tu hata YANGA - timu ya wengi watalia.
 
Wewe Britanicca ni moja kati ya hazina muhimu sana pale Lumumba. Siku za karibuni umekua na mada zenye mashiko tofauti na pale mwanzo, kiasi kwamba baadhi ya wenzako watahisi umenunuliwa na mabeberu.

Hebu utuambie, umepatwa na nini hadi kuwa critical kiasi hiki? wakati ndugu zako akina Jingalao, Magonjwa Mtambuka, et al; bado wanaendelea kuzipongeza, kuzitukuza na kuzienzi juhudi? Hongera sana kwa kuwa muwazi na mkweli.
 
Wee nae boya tu. Mnajua mnachofanya. Ukinufaika unafumba macho. Huku kwenye media anonymous unasaidia nini.
 
Duuuuu!! Naona leo kinyonga umerudi kwenye akili iliyotulia.....

Kwa kifupi hilo ulilosema linaikumba nchi nyingi za kiafrica hata hao akina museven uliowataja walichokwa na wananchi baada ya miaka 10 ya uongozi wao lakini huyu wa kwetu ndani ya miaka 3 wananchi hawamtaki hata kumsikia,
Kila siku zinatungwa sheria ili kumkandamiza mwananchi je ndani ya miaka 5 ijayo TANZANIA hii itakuaje??
 
UNAUNGA MKONO JUHUDI, lJUHUDI ZA MHESHIMIWA SANA HIS EXCELLENCY HIS MAJESTY THE MOST DISTINGUISHED LEARNED BROTHER LEADER DR PROFESSOR ENGINEER ASTRONAUT FIELD MARSHALL JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ESQUIRE?
chunga sana!!
Live long JPM
 
Jina la utani walimuita Bulldozer" tingatinga. Limesadifu. Aliboma nyumba zilo barabarani na kupanua barabara kila kona Tanzania, aliweza kubomoa Chadema. Ila alijita JIWE (mwamba,/rock stone rock). Ni Jiwe walilolitakaa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni, na kila alijegonga kwenye Jiwe hilo alisambatika vipande vipande.. Lejea UKAWA ,Chadema, amerudi mbuge mmjo. Kosa walilofanya CDM nikupambana Jiwe (Prophet YOHANA AU JOHN). Mwamba amesepa. Sasa wanachafua kivuli chake .Onyo kwa mtu anaepambana na kivuli cha Mwanamageuziharisi. Atakufa kifo kibaya sana. Atasambatika
 
Back
Top Bottom