Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

Ila kwanini na yeye magufuli aliwauwa wenzie alihisi ya kwamba ataishi milele? Damu ya lwajabe,ben saanane,azory, Alphonse Mawazo,kumpiga risasi Lissu,kumtesa mdude kwanini yeye aliwafanyia vile wenzie? Na Huyu wa sasa asubiri tu zamu yake.
 
Mi namini hilo pia, na sio tu waliharakisha mauti yake, walihakikusha wanamsindikiza mpaka alipoingia uko kuzimu.

Na wakarudi kwa kujipongeza, na kututengenezea drama tulizoziona.

Niliona jibsi Janabi alivyokuwa akinadiwa na JK ili awe mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika nilishangaa kwanini na kama nchi tunafaidikaje na huo ukurugenzi wake huko?

Dr.Ngugulile aliupata na kabla hajaanza kazi mauti yakabisha hodi, alipofungua mlango yakamchukua.

Maana tulitumia pesa nyingi sana na ndege zetu kuzunguka Afrika nzima ikulu zote ili tu kumpigia chapuo yeye, sikupata jibu lakini sasa tunaona mwanga.

Na hatuna cha kufanya na tutaendelea kulalamika mitandaoni mpaka tuchoke, kama wasemavyo wanamtandao.

Anyway, alusema wachawi wote waliishakufa
Janabi alitrend baada ya jpm kufa rejea maelezo ya cdf Kuna utata juu ya kifo cha raisi wetu
Msoga ikasema wachawi wamekufa
Katani ikasema wazuri hawafi
 
Back
Top Bottom