Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,063
- 136,407
Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
www.jamiiforums.com
Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.
Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada ya hiyo iliyoitwa ‘harambee’ ya michango ya pesa za kampeni za CCM.
Wale wanaohisiwa au kudhaniwa kuwa ndo mafisadi wamerudishwa tena kwenye kundi na sasa wapo ndani kabisa katikati ya CCM na serikali yao.
Hawa watu enzi za Magufuli, kwa kiasi kikubwa walitengwa.
Hatukuwaona wakiwa wanajiachia kwa tabasamu na bashasha tele kama ilivyo hivi sasa.
Mazingira kama haya ndo yanazidi kuupa ushahidi ule wasiwasi wangu kwamba huenda kweli Rais Magufuli mauti yake yaliharakishwa na baadhi ya watu.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
‘Fixed’?
I’m not big on conspiracy theories. But in the absence of veracious information, what’s one to do? Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep? Nah! Not for a thinking man. I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as...