Lakini si unajua kuna maaskofu wa RC wanachunguzwa uraia wao baada ya kutoka maoni ya kukosoa serikali? Basi kama hoja ni kuleta huduma za kijamii ndo inawapa uhalali wa kuikosoa serikali hata walivyo wekeza si halali maana hawakuwa raia!At least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k
sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania??
kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru,,,
viongozi wote wa hizo taasis its time kujifanyia tathmini NI MUNGU GANI MNAYEMUABUDU?
'kweli nawaambieni ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni....................(sikumbuki huo mstari unavyoishia,lol
please NIMESHATUBU,lol
At least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k
sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania??
kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru,,,
viongozi wote wa hizo taasis its time kujifanyia tathmini NI MUNGU GANI MNAYEMUABUDU?
'kweli nawaambieni ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni....................(sikumbuki huo mstari unavyoishia,lol
please NIMESHATUBU,lol
Kutubu kupo pale paleAt least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k
sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania??
kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru,,,
viongozi wote wa hizo taasis its time kujifanyia tathmini NI MUNGU GANI MNAYEMUABUDU?
'kweli nawaambieni ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni....................(sikumbuki huo mstari unavyoishia,lol
please NIMESHATUBU,lol
Kwani usajili wa hizo taasisi unazidai kujenga shule na hospital, kujenga ama kutokujenga ni maamuzi ya kanisa na sio lazima. Lengo la hizi taasisi ni kuwajenga watu kiroho zaidi. Jamii ikijengeka kiroho hata uhalifu utapungua, uhalifu ukipungua ni faida kwa serikaliAt least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k
sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania??
kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru,,,
viongozi wote wa hizo taasis its time kujifanyia tathmini NI MUNGU GANI MNAYEMUABUDU?
'kweli nawaambieni ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni....................(sikumbuki huo mstari unavyoishia,lol
please NIMESHATUBU,lol
Lakini si unajua kuna maaskofu wa RC wanachunguzwa uraia wao baada ya kutoka maoni ya kukosoa serikali? Basi kama hoja ni kuleta huduma za kijamii ndo inawapa uhalali wa kuikosoa serikali hata walivyo wekeza si halali maana hawakuwa raia!
Rebeca 83 unapotubu na ukakamilisha toba unakuwa na amani moyoni . TRA(Tanzania Raisi Atubu)hio ni juu yake na Mungu wake,mambo ya rohoni huwezi kuyajua,labda alitubu kabla hata hajaambiwa afanye hivyo
Timing is everything! Tatizo vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa kushtukizwa. Hivi kweli kulikuwa na ulazima gani wa CG wa TRA kujiingiza kwenye hii episode? kwa nini asingefanya kimya kimya au akaamua kupeleleza makanisa yote yanayoonekana kwenda kinyume na sheria za nchi-kama yapo? Hapa ni rahisi kudhani kwamba TRA wamefanya hivi kumfurahisha bwana mkubwa. Na hii inakoleza yale mawazo kwamba vyombo vyote vya dola vinafanya kazi kwa kumuogopa na kumfurahisha JPM. Rightly or wrongly.
Lazima institutions zetu zijifunze kufanya kazi kwa weledi.
Wanafuatiliwa urai wao kwa sababu tu wanamkosoa mkulu....kwa mantiki hiyo wanataka kutuaminisha kuwa inawezekana shughuli walizozifanya kwa kipindi chote sio halali...kitu ambacho si kweli ni ubinafsi wa wanasiasa tu! Kuna askofu wanasema wanamchuguza ulipaji kodi wake muda mfupi tu baada ya kukosoa cha kujiuliza bila hivyo wasingefanya kazi yao ya ukusanyaji kodi?Maaskofu wameisaidia jamii kuliko hata wazawa,hivyo wapewe uraia,other wise kusema walivyowekeza si halali,wakati jamii imefaidika sana na michango yao nakua sikuelewi ujue,
second,hapa nimefanya comparison,kati ya kanisa katoliki na taasis nyngine za dini,wamewekeza kwenye nini???,iwe halali au sio halali?