Naangalia sana status za ma-Ex wangu

Naangalia sana status za ma-Ex wangu

Mbona nimeandika kama ex yupo mmoja tu,sidhani kama nilichoandika kinaonesha uwingi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sio kweli na ww unajua kabisa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna ex wangu mmoja nna namba yake huwa ananipiga majungu sana (au mimi ndio najistukia) lakini kwa kuwa sikuwahi kumkubali sanaaa ndio maana hata siumii.

Lakini status za wale mamanzi ninaowakubali sanaa halafu tukaachana siwezi kuangalia kamwe..

Kwanza nikiachana na manzi ninaemkubali lazima nifute namba na ale block kabisa..

Aah kumbee[emoji28][emoji28]
 
Binafsi huwa sipendi kabisa kufuatilia maisha ya Ex wangu completely, kwanza nikishagombana na mpenzi wangu kisha tukanyamaziana kuanzia wiki na kuendela huwa nafuta kabisa namba yake ya simu.

Yani nikae kabisa nafuatilia kwamba kwasasa anatoka na nani au anafanya issue gani hapana kwakweli, sijawahi na sintokuja kufanya upumbavu kama huo hata kama tuliishi vizuri kiasi gani.
 
Unawezaje kukaa na namba ya X,,,


Niliwahi kumwambia X afute namba yangu Saa mbili kamili asubuhi alivyonipigia saa mbili na nusu asubuhi ile ile niliuliza Nani mwenzangu!?

Nikamwambia nishakuzika na kukusahau nusu saa zilizopita nakumbuka nilikuja kukutana akanisalimia baada ya miaka 2.

Hakuamini mpka Leo kama kweli nilimsahau!!!
 
Kuna wale ex niliokula kimasiara huwa sifuti number sio kwamba sijamove on ila sikuwahi kuwa na hard feelings nao ni kama vile napita kwenye page ya sanchi

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom