Naangalia kipindi cha cheaters e.t.v!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naangalia kipindi cha cheaters e.t.v!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mathematics, May 30, 2012.

 1. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  hichi kipindi kinafurahisha sana kwa wanaongalia, but kwa wahusika wanaowafumania wapenzi wao ni huzuni kubwa, ingekuwaje kungekuwa na kipindi kama hichi hapa TZ?
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mazee!
  Hiyo maneno are not good as well, kama mie nafumania kuparalize hakutaniacha!
  Mungu anipishe mbali na kadhia sampuli hii .
   
 3. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  hawa watu huduma yao wanatoa bure ukiwaendea, ni ule uhusiano ambao unahisi humuamini kabisa mwenzi wako, unahisi mwenzi wako anakudanganya/anakusaliti, ni safi sana ikija tz !
   
Loading...