WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,430
- 1,438
Kila kitu kina faida na hasara zake,Kila asb naaamkaga nakujiandaa kwenda kibaruani.Nikiwa kazini napiga kazi toka sa mbili kamili asb hadi sa kumi na nusu jioni.Kwa muda huo huwa niko busy sana na kitumbua changu,kazini hamna TV ila Techno yangu tu ndo inanipaga updates kutoka Jamii Forums,ila kitu cha "live" sipati.
Leo kwa raha zangu,nikiwa nimekaa kwenye kisofa changu hiki kimoja naangalia recorded Bunge hapa,kwa raha zangu napata taarifa zote....nadhani taarifa hizi hizi kesho nitaziona kwenye magezeti so recorded ni sawa sawa na magazeti ya kesho.
Ni mimi Wenyele Graduate asiye na makuu,aliyempgia kura Magufuli,diwani chadema na Mbunge CUF.