Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,673
Mhhhh Kaka upo msalani?
huyu ni appoh wa zamani
Heheheheeeeee ngoja niwasaidie kutafsiri watakaotoka kapa looh hahahahahaaaaa
Kweli kiinglish ni wito sio kusoma darasani tuu aaah hahahahahaaa
Hapo kaandika WANAWAKE na hiyo REDS alikuwa anamaanisha kwa kiingereza yaani LADIES heheheheheeeeeeeeeee Bujibuji nimeelewa mie na nimewafumbulia wengine ambao hawataelewa kwikwikwikwiiii
Huyo jirani yangu bana....anawasalimia JF wote