Naamini nitampata atakayenifaa

Naamini nitampata atakayenifaa

lisa k

Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
19
Reaction score
2
- Nina umri wa 32
- Sijaolewa, sina mtoto
- Mkristo mkatoliki
- Nina elimu ya chuo
- Mwajiriwa Serikalini
- Nina hofu ya Mungu ndani yang.

Natafuta mwanaume ambaye na yeye anahitaji mwenza kama mimi. Msinishangae mpk umri huo kutokuwa na mtu, jamani mwenzenu yalinikuta nilipoteza muda mwingi kuwekeza sehemu ambayo sio ridhiki.

Naamini waliomo humu ndani ndio waliopo nje/mtaani, so popote unaweza fahamiana na mtu.

Natafuta mwanaume atakayenipenda kwa dhati nami nimpende kwa dhati kama tutashare interest. Natamani nipate mwanaume aliyopo Dar mapenzi ya mbali mimi basi.

Awe na umri wa 32-39, Mkristo, elimu ya chuo-degree,master, hata chini ya hapo kama nitampenda haina shida, awe na kazi au awe amejiajiri ili tusaidiane katika maisha, awe na hofu ya MUNGU, awe na urefu wa kawaida. MCHESHI.

Kama ni wewe na muhitaji kama mimi nipm namba yako.
 
Halafu id za kutafuta zote mpya
si ajabu kwenye id yake ya siku zote ni mke wa mtu

tatizo wabongo wamezoea kusema uongo kwa hiyo hata mtu akisema ukweli inaonekana ni uongo!
 
lisa k

kama Una Nia kweli ndugu na hofu ya mungu,basi mwombe huyohuyo mungu atakupa mume mwema.kuna sala wakatoliki tunasali ya kuomba mchumba mwema tafuta hiyo sala sali na mungu atakisaidia.it works hakika nakuambia.utapa mume kulingana na mahitaji yako kama kweli unahitaji.nakutakia kila la kheri
 
Last edited by a moderator:
Yeye anataka wa humu humu ndio maana kaleta taarifa humu,maana kasha ridhika na busara zetu.Usi turushie ndege wetu haloo...

Hahaha haina shida kiongozi ila awe makini sana na mapenzi ya mitandaoni
 
Miaka 32 si umeshazeeka wewe,wenzio wa umri huo wanalea wajukuu,wewe ndo kwanza unatafuta bwana?pole yako
 
Acheni dharau humu ndani leo kwake kesho kwako shida zipo nyingi. Hv ukimjibu mtu kwa hekima unapungukiwa nini? Yani watanzania tunashida na nahisi tumelogwo yani tumelogwa kwa kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom