masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,395
- 19,354
Anzia mwanzo aseeeeh......
Unanijua mimi au maeneo ya kirua?Anyway mandangeni.mbona nakujua sana wewe kirua maeneo gani hayo
Ngoja vakuichwe
Yaani wewe ndo chenga kweli, unamuongopea mwenzako azeeke kama wewe bila ndoa? Kila mtu ana mipango yake, na haiwezi kufanana... Acha kumwingiza chaka mwrnzio!
Hivi wewe nadhani unakurupuka mno kwani umri kama huo bado kabisa unahitajika kimasomo kwa nini usiendelee kwanza kusoma?