BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 633
- 864
- Thread starter
- #41
Kuna vigezo ni modifiable na vingine ni non-modifiable yaani kuna vigezo vinaweza kubadilika mfano Dini/imani. Kama atakuwa tayari kuifuata imani ya kristo ya kanisa Pentecost na vigezo vingine vipo okay, hiyo haitakuwa shida (japo mtu anaweza kubadili imani ili tu apate anachokitaka na badaye akaja kugeuka)Na akitokea mwenye vigezo vyote Ila hajaokoka unafanyaje?
Kuna vigezo havibadiliki mfano umri, kuwa na mtoto n.k hivo ndio vyenye changamoto