Huyu hapakwa kifup mim nikijana wamiaka 26,nimemaliza chuo ila ni mjasiria mali.mchaga natafta mke wa kumpenda,kumbembeleza na wakunidekea!awe mmarangu au kabila lolote.
wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,
Kwa kifup mim nikijana wamiaka 26,nimemaliza chuo ila ni mjasiria mali.mchaga natafta mke wa kumpenda,kumbembeleza na wakunidekea!awe mmarangu au kabila lolote.
naona mkuu umewaunganisha washindwe wenyewe tu!Huyu hapa
naona mkuu umewaunganisha washindwe wenyewe tu!
ahaaa ya nini wapate shida na watu wana hitaji linalofanana.. wachukuane tu!
Kwa kifup mim nikijana wamiaka 26,nimemaliza chuo ila ni mjasiria mali.mchaga natafta mke wa kumpenda,kumbembeleza na wakunidekea!awe mmarangu au kabila lolote.
mbona hawaji.
ahaaa ya nini wapate shida na watu wana hitaji linalofanana.. wachukuane tu!