Naamini hapa ndio pa kuponea

elimumali

Senior Member
Jan 13, 2010
149
8
Hapa jamvini napaamini sana ndipo pa kupata miongozo yote, ndipo pa kuponea
Nina ndugu yangu wa karibu sana, mjamzito ana upungufu wa damu (8.3) na yuko mwezi wa nane sasa, hivyo bado wiki nne tu ajifungue. Anatakiwa awe na 11.5 ndio salama.
Wataalam wa madawa nifahamisheni:
1. Atumie dawa gani/chakula gani ili damu yake iongezeke haraka (wiki 4)
2. Hivi sasa dawa anazotumia ni HB Tone (vidonge), juice ya rozela na matembere. Kuna mtu kanishauri atumie Hemovit. Je, ipi nzuri zaidi kati ya HB Tone na Hemovit (ya maji?
3. Vidonge na dawa ya maji ipi inafanya kazi haraka zaidi au nzuri zaidi?
4. Hivi, ni kweli Beet root kwa mja mzito ina utata kutokana na reaction yake ya kutoa sumu mwilini?
Natanguliza Shukrani.
 
I'm not very sure of the medications you mentioned above but I would recommend the use Iron supplements. These are known as ferrous sulfates and folic acid tables. She also need a lot of green leafy vegetables but these must not be overcooked.Overcooking (kuunga) vegetables eliminates essential nutrients which our bodies desparately need.Vegetables simply need to be eaten raw or just be steamed after washing them very well. Fruits,especially those rich in Vitamin C are also essential coz Vitamin C increases the absorption of iron in the body hence the increase of hemoglobin(damu tujuavyo waswahili).For more info, visit www.livestrong.com/increse-hemoglobin or just google the word "supplements that increase hemoglobin"

Hope that helps and all the best
 
thanks mkuu. Nimepata cha kusoma week end hii. Huu mti nnao nyumbani kwangu lakini siutumii :embarassed2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom