Siumesema makonda kapokea kijiti Wewe ? umemsifia makonda wakati hii ni project ya shirika la posta acha kusifia kila kitu posta walishafanya kila kitu kama shirika pongezi ni kwa posta siyo makondaNi wapi imeandikwa Mkuu wa Dar atatoa namba za nyumba TZ nzima?
anajaribu ku counter attack tangazo la meya wa jiji kuwa atapitia mikataba yote ya jiji!si unaona alikuwa kimya muda wote,ila kaibuka leo hili "kumfunika meya"kwa hiyo matatizo ya watu wa dar ni masanduku ya posta??
Hiyo project ni ya TCRA mambo ya Postcode, ni ya siku nyingi sana, labda useme anawasaidia kukimbiza hilo zoezi, ila sio idea yake na zoezi la nchi nzima, mimi mara ya kwanza nilipata seminar ya hayo mambo Arusha mwaka 2011 akitoa Bw Innocent Mungi wa TCRA.Baada ya kubadilisha mfumo wa PF3 sasa Mkuu wa Mkoa wa Dar amekuja na nyingine nayo ni kuhakikisha kila Mtaa wa Dar yetu unakuwa na majina rasmi pmj na namba za nyumba, amesema anawaagiza Wakuu wa Serikali za Mitaa wote kulifanyia kazi hilo swala ili Barua ziwe zinaltwa majumbani mwetu na Posta badala ya kwenda kufwata mwenyewe Kijitonyama au Posta!
Endelea kujiuliza maswali kuna mambo mengi sana tunafanya kwa mazoea tu lkn siyo ya lazima na tunaweza kuyabadilisha!Big Up Makonda only sky is the limit man!!!
Nani akufuatilie wewe nimekupa ushauri tafuta kazi ya kufanya lakini kama ni kula kulala unaweza kuendelea.Ohh kumbe unanifuatilia na kuhesabu idadi ya post ninazoleta hapa JF aisee hongera sana, mbona mimi sasa wala sikufahamu na wala sijui hata umeposti nini au hata kama unaishi?
Sasa sijui ni nani kati ya mimi na wewe anayepaswa kutafuta kazi ya kufanya!
Ni kweli mkuu ni Project ya TCRA na Postal ni ya kitambo hata juzi nimesikia TCRA wanaelezea tena hilo zoezi la Postcode.Hii project posta waliianza siku nyingi tangu 2010 siyo makonda ni posta wenyewe msitafute sifa IPO arusha pia Na itaendelea Tanzania mzima
Siumesema makonda kapokea kijiti Wewe ? umemsifia makonda wakati hii ni project ya shirika la posta acha kusifia kila kitu posta walishafanya kila kitu kama shirika pongezi ni kwa posta siyo makonda
anajaribu kumfunika meya wa jiji,baada ya meya kuwa kwenye limelight baada ya kutangaza kupitia mikataba ya jiji,sasa makonda imemuuma meya kutajwa tajwa kwenye mass media,na yeye ndio kaibuka sasa hili haubadirishe upepoSiyo suala jipya suala la anuani za makazi liko kwenye pipeline toka siku nyingi...muulize mama wa vijisenti vya mboga
lengo ni kumfunika meya wa jiji!Unaelewa maana ya kupokea kijiti? Nimesema anaendeleza yale ambayo waliomtangulia waliyoaanzisha! Hivi wewe una matatizo gani? una utindio wa Ubongo au labda ulipata polio ulipokuwa mtoto??
Nimeshakwambia na hii siyo mara ya kwanza kwamba SIYO KAZI YA POSTA KUANDIKA MAJINA YA MTAA NA KUTOA NAMBA ZA NYUMBA BALI NI SERIKALI ZA MITAA/MKOA!
Nani akufuatilie wewe nimekupa ushauri tafuta kazi ya kufanya lakini kama ni kula kulala unaweza kuendelea.
Ukiamini kitu hakiwezekani, kweli utashindwa. Ila ukiamini inawezekana utafanikiwa.Nyumba za Daresalam haziko kimpangilio hilo swala haiwezekani kabisa.
swissme
Ndio hapo sasa anamsifia makonda wakati project ilianza 2010 to 2011 wakati ata makonda bado yupo chuo angewasifia posta Na TCRA kwa kazi mzuri ningemuelewaNi kweli mkuu ni Project ya TCRA na Postal ni ya kitambo hata juzi nimesikia TCRA wanaelezea tena hilo zoezi la Postcode.
Nakushangaa unamjibu huyu jamaa hana hata data ya hii project ilivyo anza, bandiko lake na anavyowajibu watu huku ni tofauti kabisa.Hiyo project ni ya TCRA mambo ya Postcode, ni ya siku nyingi sana, labda useme anawasaidia kukimbiza hilo zoezi, ila sio idea yake na zoezi la nchi nzima, mimi mara ya kwanza nilipata seminar ya hayo mambo Arusha mwaka 2011 akitoa Bw Innocent Mungi wa TCRA.
Endelea kuwasifia Wanaume wenzako Mitandaoni wakati wewe Suruali yako ina Viraka 200
Narudia kukwambiaNi kawaida Dunia hii kumsifu Kiongozi wako anavyofanya jambo zuri na ambalo litamnufaisha kila mtu, hapa nimemsifu Makonda kama Mkuu wa Dar na siyo yeye kama mtu binafsi nafikiri kuna tofauti hapo!
Afadhari umeiweka, si ndo hiyo mipango miji?foleni
maji
hospital/madawa
umeme
barabara za ndani
mipango miji
ufisadi
majitaka
uchafu
taa za barabarani
sehemu za wazi kupumzika na kubadilisha hewa ya jiji
barabara kuu za jiji
sharia za barabarabi
ajira
watoto/wazee mitaani
madawa ya kulevya
.........
.....
ongezea zako