somijo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 110
- 47
Wanabodi naomba Mwenye uzoefu wa king'amuzi cha continental anijuvye. Kinakamata Chanel's zipi za nchini?? Na je huku Bagamoyo kitakamataa??
Nimeshindwana na hiki cha star times, make kinakamata Chanel za ccm, sorry I mean TBC na wamehujumu Chanel's za jamii yaan ITV na star TV, yaan ni "no service" "this Chanel belongs to local package, pls recharge" hata kama umelipia sasa iv. Yaan jamaa ni wezi na wanaboa kwelikweli!!
Msaada please