Naacha kazi ya utumishi wa umma kwa sababu serikali haitaki kutupa Salary Slip kwa wakati

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
Nimeamua kuacha kazi kwa sababu ya manyanyaso haya .

01 : Serikali ina mda mrefu sana inatuibia mishahara yetu kwa sababu haitaki kutoa salary slip kwa mda imetengeza watumishi portal nayo haifanyi kazi naibiwa mshahara wangu kwa kutoa ninachopokea.

Naacha kazi kwa sababu serikali mnaninyanyasa kushindwa kutuletea salary slip zetu kwa wakati
 
Nimeamua kuacha kazi kwa sababu ya manyanyaso haya .

01 : serikali ina mda mrefu sana inatuibia mishahara yetu kwa sababu haitaki kutoa salary slip kwa mda imetengeza watumishi portal nayo haifanyi kazi naibiwa mshahara wangu kwa kutoa ninachopokea .

Naacha kazi kwa sababu serikali mnaninyanyasa kushindwa kutuletea salary slip zetu kwa wakati
.
Mkuu, labda useme tu masilahi yamekuwa finyu. Mikondo ya rushwa na mirija ya unyonyaji imefunga nini?
AAhahaaa. Eti uache kazi kea sababu Salary Slip haikufikii kwa wakati! Lazima utakuwa jipu tu.
 
Unajua mhimu wa salary slip ww ?
 
.
Mkuu, labda useme tu masilahi yamekuwa finyu. Mikondo ya rushwa na mirija ya unyonyaji imefunga nini?
AAhahaaa. Eti uache kazi kea sababu Salary Slip haikufikii kwa wakati! Lazima utakuwa jipu tu.
Annual increment ndo mirija ya unyonyaji unayoizingumzia
 
Una madeni mengi sana nini? Tusiodaiwa tunakaa miezi hata sita hatujatafuta Salary Slip. Ya nini kama sio kutafutia mkopo tu!
Mimi nilikua nimemaliza mwaka na kitu bila kuhitaji kua na hyo salary slip hadi walivyoihitaji ktk uhakiki wa juzi ndio nikatafuta
 
.
Mkuu, labda useme tu masilahi yamekuwa finyu. Mikondo ya rushwa na mirija ya unyonyaji imefunga nini?
AAhahaaa. Eti uache kazi kea sababu Salary Slip haikufikii kwa wakati! Lazima utakuwa jipu tu.
Sipendi mm watu wanaoita wenzao jipu, naona Kama hawafikirii sawa sawa
 
Back
Top Bottom