Naacha kazi ya utumishi wa umma kwa sababu serikali haitaki kutupa Salary Slip kwa wakati

We Jamaa utakuwa na sababu nyingine ambazo hujataka kuziweka wazi, kuna njia kama mbili za kujua mshahara wako.
1.Nenda kwa Afisa Utumishi/ mwajiri wako mwambie akuprintie salary slip yako utapata taarifa zote uzitakazo.

2. Nenda Bank kachukue bank statement utaona kila mwezi mshahara unaoingia. Kila la kheri nazani utaghairi swala la kuacha kazi.
 
Salary slip zile original kwann haziji ili tufanye na mambo mengine huoni huu udikteta
 
Ni haki yako kuipata hiyo salary slip...kama ilivyo haki yako kuacha kazi.

Maamuzi ni yako ila akili kumkichwa.
 
Salary slip zile original kwann haziji ili tufanye na mambo mengine huoni huu udikteta
Original salary slip nilisikia hazitoki kwasababu walikuwa wameishiwa materials ya kuandalia pia nazani ilikuwa ni njia ya kupunguza gharama za zoezi zima kuanzia kuzitoa mpaka kufika ktk halmashauri kote nchini. Ila kwasasa zinatoka kiongozi.
 
Habari Watumishi,
sasa hamna haja ya kufuata salary slip kwa Afisa Utumishi au Mhasibu,
Ingia kwenye mtandao kwa link hii salaryslip.mof.go.tz then bonyeza register ujisajili na fuata maelekezo.
 
Original salary slip nilisikia hazitoki kwasababu walikuwa wameishiwa materials ya kuandalia pia nazani ilikuwa ni njia ya kupunguza gharama za zoezi zima kuanzia kuzitoa mpaka kufika ktk halmashauri kote nchini. Ila kwasasa zinatoka kiongozi.
Zinatoka baada ya mda gani ??
 
Original salary slip nilisikia hazitoki kwasababu walikuwa wameishiwa materials ya kuandalia pia nazani ilikuwa ni njia ya kupunguza gharama za zoezi zima kuanzia kuzitoa mpaka kufika ktk halmashauri kote nchini. Ila kwasasa zinatoka kiongozi.
MKUu asante but nimeingia but sijaelewa kwenye hivi vipengele najazaje ?

01:;vote code
02: subvote code
03: salary scale
04: salary grade
05: salary step

Nielekeze najazaje vipengele hivi
 
Nimeamua kuacha kazi kwa sababu ya manyanyaso haya .

01 : serikali ina mda mrefu sana inatuibia mishahara yetu kwa sababu haitaki kutoa salary slip kwa mda imetengeza watumishi portal nayo haifanyi kazi naibiwa mshahara wangu kwa kutoa ninachopokea .

Naacha kazi kwa sababu serikali mnaninyanyasa kushindwa kutuletea salary slip zetu kwa wakati
acha tu,kuna watu wala hawataki kujua hiyo salalry slip inafananaje,wanataka kufanya kazi tu wataziba pengo lako siku hiyo hiyo
 
MKUu asante but nimeingia but sijaelewa kwenye hivi vipengele najazaje ?

01:;vote code
02: subvote code
03: salary scale
04: salary grade
05: salary step

Nielekeze najazaje vipengele hivi
Kama huvijui hivyo vipengele wewe sio mtumishi
 
Back
Top Bottom