Naacha kazi serikalini

Nimeipenda Sana hii. Ngoja nisome comment maana kama tulikua wote vile. Nataka kuukimbia utumwa.
 
Hajasema hicho ulichoandika wewe. Hebu soma vizuri mpe ushauri
Naona wengi mliorudishwa kufundisha shule za msingi mmepagawa sana!
Punguza stress wape madogo elimu kwani mshahara si ulele uliotoka nawo secondary!
 
Kabla hujaacha kazi hakikisha una mhimili wa kukuwezesha wewe na familia yako kusurvive.. Baada ya kujihakikishia hilo piga chini kacharike kivingine.

Bila kuzingatia hilo utazikumbuka zile 500 ulizokuwa ukizipata nwisho wa mwezi.
Chukua ushauri huu
 
Kama hali ndio hiyo we acha kazi kafanye mambo mengine, kuuliza watu si tija we nenda kapambane soon utaitwa oligarchy
 
Daah, kweli wewe una uzoefu wa hii kazi,umeongea ukweli mtupu,umeongelea yote ninayopitia na ninayoyaona. Mungu akubariki kwa kweli.
 
Wewe unafanya kipi kati ya hivyo? Na status yako ya maisha ipoJe?
 
Moja kati ya ushauri bora na mzuri kuliko zote katika thread hii

Nakupa kongolee mkuu
 
Mim naungana na baadhi ya washauri waliopita. kuwa chamsingi isikilize ile sauti ya moyo wako inavyokwambia kwa upole kabsaa" Lakin pia achana na "uwoga" wengi wetu tumekuwa watumwa kimawazo kuwa "serikalin ni serikalini" lakin kimsingi serikalin kuna ugumu wake hasa sisi ambao tunafanya kaz kwenye local govmnt halafu huna ukuu wa kitengo. natolea mfano mim ni muuguzi lakin pia mtoa dawa za usingiz hapa nilipo nafikiria kuondoka govment then naingia private sector huku nikiwa na lengo la kuwa karibu na biashara yangu. Hakuna sababu ya kubaki sehemu ambayo hakuna maslahi na wew.
Unaweza kushauriwa fanya subra. Ila watu hawajui kutofautisha kati ya subira na kupoteza mda. Waweza kujiona unafanya subira kumbe unapoteza mda.

Tupambane kaka mda ndo huu.
 
Hivi watu mnawezaje kuishi kwa kusoboneka ?? Hivi watu mnawezaje kuishi kwa kuteseka ??


Jamani tunaishi mara 1 duniani usiruhusu kuteseka Kisa kazi .. Maisha kwangu huwa siyaogopi kabisa ... Niliacha kazi account Yangu INA laki 3 and Niko fresh tu .. Sipendi kuamrishwa amrishwa hovyo kazini .. Sipendi makato ya hovyo kwenye salary.. Hizo ni sababu chache zilizofanya nijione sina vigezo vya kuajirika licha tangu nimemaliza chuo nilikuwa nimeajiriwa sehemu kadha wa kadhaa ..



Jamani Uoga ndio umasikini wako ... Endeleeni kusubiri mishahara ya tarehe 30 tu
 
Ni tarehe 25 mkuu
 
Kuna Jamaa Siku anaacha kazi huko kwenye Taasisi mshahara ukaongezeka mara dufu mwezi uliofuata! Mi nakushauri uache kwa sababu na wewe unaweza kuwa unawazibia wenzako...
 
Binafsi sijawahii kuexperience situation kama hii lakini kama ingekuwa ndo naipitia basi ningechora mipangho yangu kama ifwatavyoo.
1.plan for my long term goals
hapa najua kabisa apart from this job nataka kuwa nani au napendelea kuwa nani ,so kwa wakati huo nipo kazini ningejikita zaidi kuhakikisha naanda vema sana njia yangu ya kufika huko napotaka kuwa,so ntakaa chini ntajipanga kisaikolojia,kiuchumi,kiafya na kiimani ili kuimarisha na kuhakikisha sipungukiwi power au kupata kikwazo cha aina chochote

mfano plan zako zikiwa kuwa mfanyabiashara na ww ndo unaajira eyo hapo ambayo unataka kuiacha,kwa plan namna hii lazima uanze kujikita katika kutambua fursa za biashra unayoota kuwa zinapatikana wapi,nini kinahitajika kuifanya,uanze wapi na uishie wapi,vikwazo na namna ya kuvitatua vikwazo

2.know how much time and budget needed
kama una uhakika wakupataa mkate wako hapo kila siku inakuwa ni rahsii sana kujipanga zaidi mdogo mdogo kuelekea katika ndoto yako ambapo utakuwa unajua kabisa nini chahitajika,kutokana na ile reserach yako ulioifanya mwanzo hapo .Mfano ushajua kuwa sasa unaweza kuanza biashara ya retail shop ,so hapo unaanza kujipanga na business cost na namna ya kuwekeza meaning the frame work ya eyo biashara .

Hakuna kitu chakuzingatia kama muda,unapoutumia muda vizuri utavuna kuliko kawaida , ila unavyoutumia tofauti na mavuno huwa kunyume na mategemeo.so point yangu kuu ni kuplan utatumia muda gani kufanikisha unajenga msingi wako.. ni miezi 6,9 au 12...

vitu vya kuzingatia

skills and mindset are necessary for success ,pia i do beleieve that prosperity can be archieved by anyone.

lastly success does not require a great deal of money,what requires is the belief and willingness to make a conscious investment in oneself
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…