Naaam, Star TV ndani ya DSTV - Channel 291

Naaam, Star TV ndani ya DSTV - Channel 291

Carina

Senior Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
194
Reaction score
71
Nasubiria tu na ITV wawe hewani nipunguze idadi ya ving'amuzi nilivyonavyo kwani vishafikia vinne
 
Toa details kamili mkuu...kivip na kuanzia lini? Tunasubiri kwa hamu sana hii...
 
nasubiria tu na itv wawe hewani nipunguze idadi ya ving'amuzi nilivyonavyo kwani vishafikia vinne
hongera kwa kuwa na ving`amuzi(visimbusi)vinne,sie wengine karibu tunasahau tv,hatuna hata kimoja.
 
hebu sema vizuri, star tv imeingia lini dstv mpaka useme sasa unangoja itv nayo.... we kadogooo hebu search huko!
 
Hii ni habari njema kwa jamaa yetu aliyezimiwa tv akiangalia taarifa ya habari ofisini
 
Unafaa kuwa mwandishi wa magazeti ya udaku
If yes sema ni channel namba ngapi?
 
hebu sema vizuri, star tv imeingia lini dstv mpaka useme sasa unangoja itv nayo.... we kadogooo hebu search huko!

Ndugu hii nafikiri itakuwa imeanza leo hata ukifungua mtandao wao utaona list ya TV na Star TV ipo ndani "http://www.dstv.com/channels/" ni Channel namba 291 baada tu ya 290 ya TBC, hope hapo nimeeleweka wakuu!
 
Nimecheki confirmed Star Tv ipo
Next time achana na mambo ya kuleta habari nusu nusu
 
Kama ni kweli basi hii ni habari njema maana ni TBC pekee ndo inayopatikana humo.Kuna wakati kulikuwa pia na channel ten sijui ilipotelea wapi. Wakiongezeka na ITV basi kazi itakuwa imekwisha
 
Ndugu hii nafikiri itakuwa imeanza leo hata ukifungua mtandao wao utaona list ya TV na Star TV ipo ndani "http://www.dstv.com/channels/" ni Channel namba 291 baada tu ya 290 ya TBC, hope hapo nimeeleweka wakuu!

Safi sana,atleast sasa nitakuwa na mbadala wa TBC ndani ya uwanja wa DSTv...
 
Ni kweli kwamba Star TV ipo kwenye DSTV kwenye channel number 291 ninaiona hapa mpira wa marudio SIMBA SC na KAGERA SUGAR !
 
Kama wanatusoma hapa(dstv) tunataka watuwekee na ITV na Chanel Ten hata kama wakiitoa TBC ccm.....
 
Safi sanaaaaaaaa haya ndio mambo tunayotaka ................. hata TBC isipokuwepo hakuna neno kabisa

Nasubiria tu na ITV wawe hewani nipunguze idadi ya ving'amuzi nilivyonavyo kwani vishafikia vinne
 
Back
Top Bottom