Na0mba msaada wenu

Na0mba msaada wenu

Ismailsimba

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
88
Reaction score
12
Nimeckia kuwa kuna settings za network ukiweka kwenye handler application kama opera mini 4.2 labs unaweza kutumia internet bure, je ni kweli? Na kama ni kweli naombeni msaada wenu.
 
Usije ukawa wale ma informer, kama vip onana na vilanja wetu wakikutambua utasaidiwa.
 
Back
Top Bottom