Na wewe umepata shida hii leo?

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
Kuanzia kama saa tisa hivi mchana wa leo sikuweza kupata access ya my favourite networks (jamiiforums, BBC, nufc, CNN, na times in that order). Baadae network ikarudi ila BBC wana report kuwa optic fiber imekatwa Mombasa na ndio maana internet imekuwa slow pande hizi za East Africa.

Hali hii imenikumbusha ahadi ya Mh Mwandosya enzi zile vodacom wanakuja nchi hii. Kama hukumbuki (au ulikuwa mdogo sana kujua) alisema hivi: "Vodacom wanakuja, watamwaga simu kama njugu na gharama za simu zitashuka mno".

Leo hii BBC wanasema kuwa kuna hujuma makampuni ya simu wanafanyiana ili wasipate hasara kutokana na investment walizoweka. Naanza kuona uhusiano kati ya ahadi niliyoiamini ya Mh Mwandosya na kutotimizwa kwa ahadi hiyo na utapeli tunayofanyiwa leo na makampuni ya simu.

NI MAWAZO YANGU NA NAKUBALI SI LAZIMA YAWE SAHIHI. Ila nitakushukuru ukinipa mawazo mbadala
 
Back
Top Bottom