Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
Sijategemea mtu mwenye wadhifa mkubwa kama wewe tena katibu wa chama kikubwa kujihusisha na ujangiri wa wanyama pori.......
Plzzzzzz wazee kama mnataka kutoka na kustaafu msituaribie nchi....
Ni imani yangu baadhi ya wanaJF mnaweza kuwa mmeshasikia au taarifa mnazo kuhusu huyu katibu mkuu wa chama kikubwa hapa nchini kufanya uhahini mkubwa kiasi hiki.....Unafanya animal poaching acha nasema acha la sivyo tutakutoa hadharan machafu yote unayofanya.......