Na watanikoma...

Na watanikoma...

Baaba, mbona we hunnunulii pipi kama Anko Kidevu?

We, Anko Kidevu ndo nani?

Si yule anannunuliaga soda na chips kila nkitoka shuule.....:biggrin1:
 
Tuanze kwako, wew ulichukua hatua gani wakati ulipokua uanskia hao watu husika wkisema hivyo?????
 
jambo la msingi ni kutulia na mmoja... jambo hilo nalo ni gumu kupima pia kama uko na mmoja kwa njia moja ama nyingine!

mtu mwenye virusi vya ukimwi.. kadiri anavyofanya ngono, ndivyo anavyoishiwa nguvu za kimwili japo pia inategemeana na mlo aupatao kila siku...

njia kuu ni ngumu sana kui-maintain...

kuna haja ya kupima virusi vya UKIMWI kila baada ya miezi mitatu baina ya wanandoa ama wapenzi..

ukimwi unaua!!!!!!!!!!!

aids2.jpg
 
Baaba, mbona we hunnunulii pipi kama Anko Kidevu?

We, Anko Kidevu ndo nani?

Si yule anannunuliaga soda na chips kila nkitoka shuule.....:biggrin1:

Sijui ni lafudhi ya kihaya ileee, advert inanikosha sana ile.
 
asa anamkomoa nan,..kwa ufup ni kukosa elim tuu,hajui HIV viko aina zaid ya 4,na vyote vna character tofaut,so kadiri unavokua malaya,bado hao unaowafata na kufanya ngono zembe nao pia wamedhamiria kama wewe,so mnaambukizana n hav a variety of HIV virus ambao wanakua resistant to dawa,mwisho wa siku huchkui hata mwaka lamza tukuzike,..hujafanya research,nenda ambiance kaulize wale malaya wa pale watakwambia
wenzao wanakaaga mda gan toka maambukiz,ndo nadhan utaamin nachosema
 
Tatizo wapenzi wapya wanapimana HIV tu wakijikuta poa wanaendelea. Issue ni kwamba siku unapata ujauzito aisee inafurumuka list ya kupima mara hepatitis mara sijui mavitu gani... yote hayo watu hawakupimana mwanzo unabaki kusali tu Mungu akusaidie usikutwe nayo. Pia kama ndo mpenzi wako au mume wako mtapimana mara ngapi? Maana na michepuko hii leo mpo fresh kesho hujui... utarudi home umwambie hubby mkacheki afya tena? Utaanzia wapi? Na ukienda mwenyewe sometimes haina impact raha mwende wote aonje ile joto ya jiwe ili ajitafakari upya ile saa anasubiria majibu...
 
Back
Top Bottom