Na sisi tutafika?

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
573
578
dubai-then-and-now.jpg

Dubai 1995 vs 2017
 
Ukiiangalia dubai ya 1995 unaonankabisa ilikua inaonekana inaelekea wapi. Mji imepangika.l, hata kama hauonekani kuwa umeendelea sana. Maana yake bila shaka walikua wana plan yao kichwani tayari.

Si si hata plan yenyewe haijulikani iko wapi.

Kufika huko bado ni ndoto ya usiku
 
Ngoja kwa sasa tuwatumbue akina Mwele Malecela, maghorofa sio kipaumbele. Kwanza yanakula hela nyingi wakati kutumbua ni suala la kumwambia Msigwa "edit" ile barua yetu tupia jina la fulani!!
 
Back
Top Bottom