johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Bashe vs Dr Kigwangalla, Bashe alishinda na Kigwa akahamia Nzega Vijijini
Prof Mkenda vs Dr Kigwangalla, Mkenda alishinda na Sasa ni waziri Wakati Kigwa ni Mbunge wa kawaida
Mo Dewji vs Dr Kigwangalla, Mo Dewji alishinda na anatamba na Timu
Ngoja tuone hii Mpya sasa:
Bashe vs Mpina
Mlale Unono 😀😀