Na roma msanii apata ajali mbaya akielekea kwenye shoo,

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
IMG-20120804-WA000.jpg
IMG-20120804-WA002.jpg
IMG-20120804-WA003.jpg
IMG-20120804-WA005.jpg
IMG-20120804-WA007.jpg
 
Wasanii embu mjipime wenyewe je mnayo yafanya yana mletea mungu utukufu au shetani kama yana mletea shetani utukufu basi matunda yake ni mauti,za gafla gafla,pole ndugu roma lakina mrudieni mungu,wakati wa kumtumikia shetani na mambo yake umekwisha,mungu atukuzwe sasa,
 
Acha ubabaishaji mbona ajali ya cku nying sana?? Almost more than six months!
 
mara ya pili hii amepata ajali akielekea kwenye show.. mara ya tatu atapotea
 
Wasanii embu mjipime wenyewe je mnayo yafanya yana mletea mungu utukufu au shetani kama yana mletea shetani utukufu basi matunda yake ni mauti,za gafla gafla,pole ndugu roma lakina mrudieni mungu,wakati wa kumtumikia shetani na mambo yake umekwisha,mungu atukuzwe sasa,

Hapo ni uzembe 99.9% hakuna kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kijinga kama hayo wengi wao wanaopata ajali akiwemo huyu wa hivi karibuni ujuzi wao ni mdogo sana juu ya mambo ya usalama barabarani wengi wao wanaamini kukimbia high speed ndiyo udereva mzuri na katika high speed hiyohiyo wanataka kutuma sms mshale ukiwa kwenye 140kph na wakati huohuo wanataka kuangalia picha za bongofleva kwenye luninga pembeni na zaidi ya yote pamoja speed kuwa kubwa bado anataka aendeshe mkono mmoja na huo mkono mmoja sterling imeshikwa kwa vidole viwili jambo ambalo linawaangamiza na litawaangamiza kila siku, mtasema Freemason uchawi na mengine yote lakini ukweli ni kwamba ni UZEMBE NDIYO UNAOWAANGAMIZA kama ni lazima muendeshe magari nendeni kwanza N.I.T-Chuo cha taifa cha usafirishaji MKAPIKWE hakuna atakayekufa kizembe kama mnavyopukutika wasanii. Ukiwa makini Mungu yupo upande wako hata kama linatokea ajali madhara yake yanakuwa ni kidogo kuliko kama ungelikuwa mzembe na uzembe baba yake ni roho wa mauti.

Nkichunguza wasanii wote hakuna hata mmoja aliyesomea udereva zaidi ya kujifunzia kichochoroni na kujidanganya anajua akienda na kurudi salama kariakoo wadogo zangu Udereva ni fani nendeni mkausomee tumechoka kusoma risala "MAREHEMU ALIKUWA MWEMA SANA MCHAPAKAZI NA MWADILIFU NA PENGO LAKE HALITAZIBIKA" Risala hizi zinatuacha na majonzi mengi wazazi na ndugu pia wapenzi wa fani zenu mnatukatisha starehe na burudani tunazozipta kupitia kazi zenu. Jamii inawategemea.
 
Hapo shetani aliyemshawishi kutoka nduki 120 km/hr amekwisha ondoka hapo kilichobaki ni majuto. Hapo ukisearch ndani ya gari pengine kuna chupa ya kinywaji.

Ukichanganya na bima za vijana za magumashi (Third party) wanafikiri wanakomoa askari wa barabarani kumbe wamajikomoa wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom