Na mimi yamenikuta, nahisi sina ujanja

Na mimi yamenikuta, nahisi sina ujanja

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,159
Reaction score
5,278
Mara zote nilikuwa nikiona watu wana gombania demu nahisi wamechanganyikiwa. Yaani wanawake wote hawa unagombea mwanamke. Kumbe yalikuwa hayajawahi kunikuta.

Katika maisha yangu nimedate na wasichana wengi ambao hata sina idadi kamili. Miaka 9 iliyopita niliamua kuingia kanisani na kufunga ndoa na dada mmoja. Huyu mke wangu ni mtu mwema sana. Ananijali na mimi namjali. Tatizo langu kubwa na yeye liko kwenye uwanja wa 6 kwa 6. Ni mvivu na asiyependa kujituma. Yaani ana come haraka na akisha come hataki tena. Wakati mwingine ili mimi ni come inabidi nitumie mbinu mbadala kama kufanya katikati ya chakula cha watoto au anifanyishe na mkono n.k. Tatizo langu ni kwamba huwa si come haraka. Mara zote ana come kabla yangu na akisha come tu basi hataki tena kufanya huko maeneo. Hata hivyo mimi sikuona tatizo sana kwani bado huniwezesha kushusha mzigo kwa alternative methods.

Miaka 4 iliyopita yaani baada ya miaka mitano baada ya ndoa nilikutana na dad mmoja.Alikuja ofisini kwangu kama sale/marketing officer wa kampuni moja ya vifaa vya IT. Tulifanya naye biashara kadhaa na baadae nilijikuta nampenda, offcourse na yeye alinipenda. Dada huyu anaelimu ya form four tu na vi certificate kadhaa. Lakini anakivhwa kizuri sana na yuko very intelligent.

Bahati nzuri na yeye alitokea kunipenda na tulianza uhusiano. Wakati huo alikuwa ameachana na jamaa yake ambaye aliishi naye miaka 6 na kupata naye watoto wawili na alinieleza kila kitu kuhusu huyo mume wake na sababu za kuachana. Hawakuwa wamefunga ndoa yeyote. Nikafanya utafiti wangu na kugundua yote akiyoniambia ni ukweli mtupu.

Tukaanza ma lovedavy na bahati nzuri tulikuwa tukiishi karibu. Yeye mwananyamala mimi kijitonyama. Mapenzi yetu yalikuwa matamu na kiukweli huyu dada alikuwa ananijulia vilivyo. Tulikuwa tukikutana mara kwa mara na ukizingatia mke wangu ni mchovu. Wala haikuwa rahisi kwa yeye kugundua kitu.

Tuliendelea naye kwa muda mrefu na ilifika mahala akapunguzwa kazini na nikamsaidia kuanzisha biashara ndogo ndogo ili kusukima maisha.

Kwa muda wote nimekua nae free na kila nikimuhitajia alikuwepo kwa ajili yangu na hata nikipata safari za mikoani nilikuwa nasafiri naye bila tatizo lolote.

Mwaka jana yaani baada ya kuwa naye kwa takribani miaka mitatu mke wangu akagundua uhusiano wetu. Nilikataa lakini alikuwa amekusanya evidence za kufa mtu. Na alifanya utafiti wa kina hadi akamjua dada mwenyewe. Pamoja na hayo niliendelea naye kwa uangalifu zaidi na nilmpromise wife kuwa nitaachana naye. Cha ajabu alisistizi kuwa nisiachane naye, point yake ilikuwa eti hata nikiachana naye nitatafuta mwingine. Eti bora niendelee naye tu lakini niwe makini na magonjwa. Ilifika mahala mke wangu ana mchukulia kama mke mwenza. Ingawa mara zote nilikana kuwa naendelea naye.

Kinachofanya niandike post hii ni kwamba kama miezi sita iliyopita niligundua kuwa huyu dada ameolewa miaka miwili iliyopita. Hii ina maana aliolewa wakati tukiwa naye kwenye uhusiano. Kilichofanya nigundue ni kwamba siku moja nilipiga simu usiku ikapokelewa ma mwanaume ambaye alijitambulisha kama mme wake. Nilishangaa maana miaka yote nimekuwa naye sijawahi kusikia kama ana mme. Tukagombana kwenye simu na mimi nikimwambia huyo ni mke wangu. Baada ya malumbano yasiyokuwa na muafaka alikata simu. Nikapiga haikupokelewa na hatimaye ikazimwa.

Kesho yake asubuhi huyu dada akanipigia simu akidai simu kwa namba nyingine imepotea na alikuwa akienda vodacom ku renew namba. Nilijaribu kumueleza mtu niliyeongea naye usiku akadai hamjui kwanisimi yake ilipotea toka saa 10 jioni.
. Akasema amepata malalamiko kutoka kwa watu wengine pia eti simu yake inapokelewa na mwnaume. Akasisitiza yeye hajui lolote.

Nikamwamini kwa na tukaendelea kama kawaida. Baada ya kama miezi 3 siku moja napiga simu akapokea yule jamaa tena. Akaniambia alisha nionya juu ya mimi kutembea na mke wake lakini sisikii so litakalo nikuta nisimlaumu. Nikamuuliza yele dada inakuwaje akaniambia huyo mtu ni kweli alikuwa anataka kumuoa lakini yeye alikataa kwa sababu huyo jamaa ni mwislamu na yeye hayuko tayari kubadili dini. Sasa anamfanyia visa na siku hiyo alikutana naye akamnyang'anya simu kwa nguvu.

Baada ya kama siku mbili kupita yule jamaa akanipigia simu kwa namba yake na kuniambia kuwa yeye amemuo huyo dada miaka 2 iliyopita. Nikamweleza mbona mimi nimekuwa na huyu dada kwa miaka 4 iliyopita na mara nyingi niko naye na huwa nasafiri naye? Hakuwa na jibu ila akanieleza tu wewe juwa kuwa ni mke wangu.

Kilichofuata rafiki wa huyo dada akanipigia simu akaniambia eti nimeharibu. Eti huyo jamaa ni mme wa ndoa wa yule dada na sasa sijui itakuwaje. Yule dada nilivyompigia simu akaniambia ni long story inabidi tukutane naye ili anieleze kila kitu kinachoendelea.

Baada ya kama siku 3 nilikutana naye na kuniambia kuwa ni kweli alifunga ndoa ya kiislamu na huyo mzee ambaye anafanya kazi BOT. Akaniambia kuwa huyo mume alitafutiwa na kaka yake ambaye pia yuko BOT. Akasema yeye ni mke wa tatu kwa huyo mzee na hiyo huonana naye mara chache kama mara 3 kwa mwezi. Ndo maana huwa yuko free siku zote. Akasema kuwa huyu mzee alimuahidi mambo makubwa lakini hajatimiza na hivyo yuko tayari kuachana naye. Hivyo akaniomba tuendelee na yeye ataachana naye kisheria maana haoni faida yoyote ya kuendelea kuwa naye.

Sikunjibu chochote nikaondoka. Ila kiukweli kabisa nampenda huyu dada. Ananijulia na siko tayari kutafuta mtu mwingine. Nimeachana naye miezi 3 sasa lakini nahisi bado nampenda. Naomba ushari nifanyeje?

Technic ambayo amekuwa akitumia kwa muda mrefu ni kuwa na simu kimeo. Yaani ukimnunulia simu mpya baada ya wiki anesema mara imetumbukia kwenye maji au ameibiwa na anatumia simu kimeo aliyoichukua kwa rafiki yake. Kwa muda niliokuwa naye nimenunua zaidi ya simu nane lakini hazidumu wiki 2. Nafikiri lengo lake ilikuwa akipigiwa simu kama haipatikani asingizie ni kimeo. Hata hivyo mara nyingi nikimuhitaji alikuwa yupo kwa ajili yangu.

Ni story ya rafiki yangu ambaye pia ni member wa jf. Ushauri wenu utamsaidia.
 
Safi mdada kula vichwa hao ..si una mke wewe ? Tulia la sivo utachanganywa mpaka.utanunua simu hadi mwishoni utanunua kiwanda cha Nokia kabisa
 
out of topic, uwage unatoa LIKE kwa wenzio pia haaaa!!
likes received 235
lkes given NIL
Sio vizuri hivo

Natumiaga simu huwa sioni kitufe cha like. Natamani sana kutoa likes lakini nashindwa.
 
TUKO WANGAPI????????????

We kuwa na MKE aaaah! waona mambo byeeeeeeeee! Ila mwenzio kuwa na MUME ni deal breaker! Hahahaaaaaa! Men and there selfishness! We ulitaka umsimulie habari za mkeo tuuuuu! Kakukomeshaje?
 
Kwanza nikuulize tukushauri kurudiana na huyo wa mwananyamala au kubaki na mke wako? Plz
Kwa mujibu wa story sholi wa mwananyama ni mjuzi wa mambo na amemkamata jamaa vilivyo. Jamaa anaonekana amekamatika. Maana anajaribu kumuacha lakini anashindwa. Ushauri wenu ndo unaoweza kumpa nguvu ya kuachana naye au kuendelea naye.
 
kama bado unamuitaji mwambie mtaendelea cku akpewa talaka ili usiingie kwenye matatzo na uyo mzee
 
TUKO WANGAPI????????????

We kuwa na MKE aaaah! waona mambo byeeeeeeeee! Ila mwenzio kuwa na MUME ni deal breaker! Hahahaaaaaa! Men and there selfishness! We ulitaka umsimulie habari za mkeo tuuuuu! Kakukomeshaje?
Nafikiri kitendo cha mwanadada kutomwambia jamaa kwamba ana mume ndo kilicho mkwaza. Mbona watu wanatoka na wake za watu tu kama kawa. Kwa nini huyu dada hakusema kuwa amepata mume? Wadada wa mjini ni balaa.
 
iMind
Ni Ushauri gani tena apewe? Yeye ana mke na mwenzie ana mume, if you ask me I'd say a perfect match made in adulterers' heaven!! The only concern for me is , if the lady is capable of running such a game on him, 2+ years of marriage and intimacy bila yeye kung'amua , then what else is ...................................
 
out of topic, uwage unatoa LIKE kwa wenzio pia haaaa!!
likes received 235
lkes given NIL
Sio vizuri hivo
Dah hauna hata huruma,haya amekusikia toa ushauri wako sasa
 
. Tulikuwa tukikutana mara kwa mara na ukizingatia mke wangu ni mchovu. Wala haikuwa rahisi kwa yeye kugundua kitu.


Ni story ya rafiki yangu ambaye pia ni member wa jf. Ushauri wenu utamsaidia.

jamani aneweza kuelezea hapo tafadhali!

mi nna hasira.... naweza pigwa ban mpaka july mwakani!
 
iMind
Ni Ushauri gani tena apewe? Yeye ana mke na mwenzie ana mume, if you ask me I'd say a perfect match made in adulterers' heaven!! The only concern for me is , if the lady is capable of running such a game on him, 2+ years of marriage and intimacy bila yeye kung'amua , then what else is ...................................
Ni ajabu kuwa pamoja na kwamba mume wa huyu dada anajua uhudiano wa dada na jamaa. Hajampiga hata kofi huyu dada. Na kinacho mpa jamaa wasiwasi ni keamba Je huyu jamaa anaweza kumfanyia kitu mbaya? Na ukiongea naye ni kama anatafuta defensive mechanism. Aendelee na dada isiathirike au kuathiriwa na Mume. On the other hand mume anaonekana kukosa control kwa huyu mke wake.
 
Safi mdada kula vichwa hao ..si una mke wewe ? Tulia la sivo utachanganywa mpaka.utanunua simu hadi mwishoni utanunua kiwanda cha Nokia kabisa
Smile...
 
Last edited by a moderator:
Kuna cha ushauri hapo kweli hakika mimi cha kukushuri ni kuachana na huy dada kurudi kwa mkeo tu,Najiuliza tu hivi hizi ndoa mnapofunga huwa mnamaanisha au huwa mnataka kuwafaidisha watu pilau na kujionyesha kuwa mmefunga ndoa ya kifahari,kweli unaweza ukamuoa mwanamke ambaye unamthamini ukachua udhaifu wake kumsaliti eti hajui chochote kwani ulitafutiwa huyo? Hivi kuna mwanamke ambaye kweli anampenda mumewake na kumthamini na pia kuheshimu ndoa yake akaridhia kwa mdomo wake na kusema eti kuweni makini(maana yake tumieni kinga) halafu bado iitwe ndoa? Ushuri tu mnapooa oeni kwa kumaanisha siyo kuwafurahisha watu kwa hiyo stori kuna raha gani ya ndoa unaacha kumpigania mkeo ndani eti unamng'anga'ania kimada duh!
 
Hii ni burudani.jf zaidi ya babalao kweli. Yaani kumbe mabwege ni wengi hapa town. Mkuu wewe unaonekana ulisoma seminary boys . Huyo demu amekuzidi sana akili.ni kweli ni unteligent sana kama ulivyokili mwenyewe.ameshakuwin.na amesha jua kwamba wewe ni bonge la ----.
 
Back
Top Bottom