Na mimi nimeamua

Nakwambia noma! Marehemu ni gumzo mpaka huku kitaa kwetu. Hupiti mazungumzo ya watu ukaacha kusikia habari zake!


halafu vitu vingine vidooooogo vinakuzwa ile mbaya, usishangae ikija thread inazungumzia kucha za lulu
 
Hivi nani aliwapindisha?

nimecheka kimsamba msamba, meno yote nje lol.

Dah, jf is never boring.
 
Nimefurahi sn man u kuongeza gepu la point na man city!kwan hapa mnaongelea nn?nimesikia simba imewatoa waarabu na inaendelea hatua inayofata!alafu mbona kesho tayari hata cjalala tangu nilivoamka jana!
 
Hivi nani aliwapindisha?

nimecheka kimsamba msamba, meno yote nje lol.

Dah, jf is never boring.
Never boring.
Jf imekuongezea siku za kuishi. Ila hyo ya kucheka kimsamba msamba sijui ndo ikoje. Ama kweli Jf ni kila kitu.
 
Nimefurahi sn man u kuongeza gepu la point na man city!kwan hapa mnaongelea nn?nimesikia simba imewatoa waarabu na inaendelea hatua inayofata!alafu mbona kesho tayari hata cjalala tangu nilivoamka jana!

Canta umetisha. Hongera Man u na Washika bunduki. Ila Man U wakibebwa, hilo halina ubishi kwa mtu anaejua soka na mshabiki wa ukweli.
 
Canta umetisha. Hongera Man u na Washika bunduki. Ila Man U wakibebwa, hilo halina ubishi kwa mtu anaejua soka na mshabiki wa ukweli.

Ndugu yangu kwan umesahau mwenye nacho huongezewa!kwa hiyo ndio ivo tena tunamshukuru balotel aendelee kuwafedhehesha majiran zetu japo tuambulie kikombe hicho maana kwengine ndio hatuna chetu!washika bunduki nao naona wanajitutumua japo ni kawaida yao wanastrago ila mganga wao kawakataza kuchukua mataji!
 
Uzi nimeuona ndugu mathematics ila nimeangaza sana sikuona sindano. umeiweka wapi?
 
Nimefurahi sn man u kuongeza gepu la point na man city!kwan hapa mnaongelea nn?nimesikia simba imewatoa waarabu na inaendelea hatua inayofata!alafu mbona kesho tayari hata cjalala tangu nilivoamka jana!

Naona Man U imevutwa shati huku City na Arsenaaal wakipiga hatua..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…