Hata akiwa mwanafunzi, Segerea haimuachi. Ni bora ashauriwe aanzie miaka 19 na kuendelea hadi 100. Zaidi ya mia napo kutakuwa ni kubakadogo wewe una nyota ya Segerea walahi!
hao watoto wa shule wataka kuwapeleka wapi? au na wewe mwanafunzi?
Lile la mologolo na morogoro
Ok ni wapi nilichemka jombaa nirekebishe mkuu
Hujachemka kaka ila wanafunzi bado wanatumia hayo maneno...soma hiyo thread